Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mchina keshatumia $668 million na bado mambo bado? 😂😂😂😂😂😂😂
 
Hatuwezi kubali kununua finished goods kutoka kwenu. Lazima tuprotect viwanda vyetu from unfair competition.
Sio kwamba mtapenda bali itawalazimu, maana viwanda vyetu vitakuwa vina produce products kwa gharama nafuu kuliko viwanda vyenu cz tutakuwa na umeme wa kutosha na wa bei nafuu, hivyo kupelekea kuteka soko la finished goods hapa EA na SADC pia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mchina keshatumia $668 million na bado mambo bado? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii road haitalipika kama SGR, hapo ndipo wataelewa kwnn mchina haendi mbinguni kamwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uwezo wenu wa kung'amua nadhani ndio shida,ulitaka aseme tu cha mkandarasi,maelezo hujasikia.Nikikumbushe tu hicho kichwa ni sehemu ya mkataba wa SGR.Msilete mada sisizo na msingi
Hebu leta huo mkataba tuuone unaosema vifaa vya mkandarasi Yapi Merkezi kwa ajili ya Testing and commissioning vitanunuliwa na TRC na lazma viwe vipya! Na mbona kila cha ukandarasi cha SGR track alignment hakikuwa kipya na Yapi Merkezi walikitumia Ethiopia?

Awash-Kombolcha-Hara Gebeya Railway​

390 km long Awash – Kombolcha – Hara Gebaya railway Project is being constructed by Yapı Merkezi as a single track starting from the northeast of the city of Awash, extending towards North through the city of Kombolcha and eventually reaching to the city of Weldia.
The Project is high important and crucial due to the establishment of connection between northern and eastern Ethiopia and support to the traffic of passenger freight, as well as the contribution to import and export through the harbor of Djibuti.

All works pertaining to design, manufacture, assembly and operation startup of track superstructure, maintenance facilities, workshop and depot areas, stations, service building, track works, signalization, catenary systems, generator rooms, telecommunication and training of personnel were carried out by Yapı Merkezi.





 
Huyu minister Ni takataka tu,
Wapi proof Ni picha ya 2020!
Anajua nchi imejaa makondoo akisema anything watakubali kama watoto!

Wewe tofauti yako na kondoo ni harufu.

Sasa juu wewe ni kondoo unadhani kila mtu ni kondoo humu!

Mkiambiwa mfanye tafiti kabla ya kuokota okota picha kondoo hamsikii.
Tena ziliharibiwa kwa kukosa phytosanitary documents na zilikuwa tani 3.5 kondoo wewe.

Huyo minister tayari ashafungua maghala ya kuuza chakula Sudan kusini na Congo, sasa hivi yuko kwenye hatua za kufungua ghala la kuuza chakula Mombasa kondoo wewe.

Kenya nzima hakuna minister anayemfikia huyo minister kondoo wewe.

Level zenu ni hizi kondoo wa kienyeji wewe.
 
Hii road haitalipika kama SGR, hapo ndipo wataelewa kwnn mchina haendi mbinguni kamwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂😂😂

Lengo lake ni kufika $1 billion naona
 
Nimecheka kinoma noma, ktk kila neno moja mbele kuna kondoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Nishawahi kuwaambia humu, ukitukana, dharau au kejeli nakurudishia kwa kishindo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…