Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Post ile picha nicheke kidogo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Simu yangu yenye zile picha imepasuka kioo, km sivyo ningeshaitag muone jinsi jamaa walivyo hawana akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wacha kazi ikamilike wacha kuropokwa na Tanzania ina interchange mbili tu pekee nchi mzima.
Kazi gani ikamilike wkt hapo ilipo ishakamilika tayari na ndiyo inakaa handaki km hivyo, nyie wakunya hamna uwezo wa kujenga vitu classic km Tz, yani interchange moja ya Tz gharama yake ni sawa na interchange 10 Kunyaland [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe hatukosei tunaposema wakenya kiuchumi wapo vizuri kuliko watz, municipality na kunakaa kumechoka hvo[emoji1787][emoji1787]
Yani cha maana ni stendi makazi upupu, yani raia wananchi kiuchumi zero
kama miji ya Tz kunaishi maskini, huku Lodwar kunaishi kina nanai.? 😂😂 Huku si wanaishi wanyama.? Australopithecus 👇 bado hawaja graduate to highest stage of human evolution 😂😂😂heb ona hapa 👇😂😂😂😂
 
Post ile picha nicheke kidogo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ka interchange kadogo lkn kanamaliza mwaka ss hakajaisha, kanajengwa na wafungwa kule Kenya, wanaweka tofali moja moja kwa kutumia mikono unadhani itaisha leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwhyo kenya hakulimwiee, acha kujidanganya wewe hta ule wakati unaskia kenya inahitaji chakula especially mahindi huaga ni surplus ndio tunahitaji..

Ukumbuke tuna consume kuwaliko licha ya nyie kuwa na population kubwa...
Usidanganywe na mtu bana, kenya wakulima wa ndani wapo sema tu serekali haitaki kutilia maanani ukulima kw sababu ukiangalia sana kwenye irrigation schemes hazifanyi vizuri lkn bado serekali..

Bura tana irrigation scheme inauwezo wa kulisha kenya nzima sema tu bado viongozi hawana hamu nazo sijui au nisemeje..

Galana kulalu nayo ndio usiseme, hayo mabo eti ardhi amepewa mkoloni peleka hko..
Wale wanalipa kodi km dangato anavyofanya kule mtwara
 
Ka interchange kadogo lkn kanamaliza mwaka ss hakajaisha, kanajengwa na wafungwa kule Kenya, wanaweka tofali moja moja kwa kutumia mikono unadhani itaisha leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Interchange kadogo ndio hii, the only one in Tanzania mzima. 🤣🤣🤣🤣🤣

 
Amekasirika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Population ya nothern kenya inacheza 700k ya kenya nzima na majority yao wanaishi kw nyumba za blocks..
Kenya ina watu 49m ukumbuke hilo..
 
Ukimwambia aweka Turkana anaweka barabara inayopita Turkana, kwahiyo watu wanaishi kwenye hyo barabara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Turkana inaishi mifugo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha kujitetea.🤣🤣🤣 Lodwar town ikona barabara poa kuliko Mwanza.
 
Ukimwambia aweka Turkana anaweka barabara inayopita Turkana, kwahiyo watu wanaishi kwenye hyo barabara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Turkana inaishi mifugo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwn tz watu wanaishi stendi na kwenye majengo ya serekali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Manake hko ndio hu post sana
 
Interchange kadogo ndio hii, the only one in Tanzania mzima. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umeona world class interchange hiyo? Ss thamani yake hyo unapata vi interchange 10 Kunyaland.
 
Kwn tz watu wanaishi stendi na kwenye majengo ya serekali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Manake hko ndio hu post sana
Kwahiyo haya ni majengo ya serikali [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mana hauwezekani nakwambia upost mji, alaf unapost barabara [emoji23][emoji23], sasa ni kwamba watu wanalala kwenye hiyo barabara.?
Watu mpanda wanalala stendi[emoji1787][emoji1787]
Sumbawanga je!!wanalala pale kw ile main road yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…