Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Oy bro geza, unajua huyo mtoto ni mpumbavu sana juzi hapa alidai kwamba Kisumu airstrip Ina handle watu wengi than Mwanza and Arusha combined 😂😂 kumbe Kisumu enyewe Iko na PAX terminal ya 250k per annum, 😂😂😂
Kshs 240 mln PAX Terminal expansion from capacity of 250,000 PAX per annum! 🤣🤣🤣
CC: Teargas
See the grammar of the company that is to oversee expansion!
Kwaiyo twatakiwa kusifu...huu ushuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wapuuzi kinyamaHalafu ukikutana nao ni unafiki kwenda mbele tena ukabila wao upo wazi cha kwanza ni utaulizwa wewe ni kabila gani, then ukiwa si Mchagga utaskia wakibagua live wakijidai wao ni kama Wachagga! Utaskia sisi hufanyaga biashara na Wachagga na ukitaka kuwatumia jifanye Mchagga! Hawa jamaa ni wapuuzi sana!
Huyo Teargas ni mwanamke mpumbavu sn kazi yake huwa ni kuongeza data za kunyaland na kupunguza za Tz, don't take her serious.Oy bro geza, unajua huyo mtoto ni mpumbavu sana juzi hapa alidai kwamba Kisumu airstrip Ina handle watu wengi than Mwanza and Arusha combined [emoji23][emoji23] kumbe Kisumu enyewe Iko na PAX terminal ya 250k per annum, [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hivyo unadhani hakuna Wakenya wanaokwepa kulipa kodi? Wakenya ni Wakora na wajanja hata kushinda nyie Watanzania. Licha ya ukwepaji wote huo wa kulipa kodi na corruption nzito sana ambao upo Kenya unakuta bado tunakusanya kodi mara mbili yenu. Na sio tu kwenye kodi, nimenotice tunawadouble kwenye mambo mengi tu. Hata kwenye mambo ya port, Mombasa port inahandle double ya kiwango cha mizigo ambayo port zenu zinahandle. Tukija kwenye electricity production, Kenya inaproduce 3,000 MW wakati nyie mnaproduce 1,600 MW. Kenya ina Gdp zaidi ya $100 billion wakati gdp yenu ipo $70 billion.Subiri nikueleweshe kidogo bro, mapato ya kodi kuwa chini hapa Tz haitokani na uzalishaji kuwa chini, lahasha! Ispokuwa inatokana na mifumo mibuvu ya ukusanyaji kodi na mengi kati ya makampuni kutolipa au kukwepa kodi,na ndio maana Magufuli alileta mfumo wa ukusanyaji kodi kwa kutumia vikosi kazi (task force), mf Bakresa mwenyewe alikua halipi kodi kabisa, kuna makampuni ya uchimbaji madini yalisamehewa kodi milele na kampuni nyingi tu. Ila mama alivyoingia madarakani alijitia umbea kuondoa tasks force) na ndio maana makusanyo ya kodi yanashuka zaidi, ila upo uwezekano mkubwa mno kwamba sisi tunazalisha kuwazidi hata mara mbili, huu ni ukweli ambao kila mtanzania anaujua haswaa wapinzani wa serikali
wivu😜kwani nyie hampostigi kamradi kenyu ka BRT😂😂😂mpaka wa leo hii hamjaizoea!Tafutaga Picha zingine
unatujazia Upuuzi huu huu jf
Wanapigana miti balaa, kanchi kadogo kana watu over 55mil.hawana chakula afu ni vitombi
Lugha Gani Umeandika?wivu😜kwani nyie hampostigi kamradi kenyu ka BRT😂😂😂mpaka wa leo hii hamjaizoea!
Sama boy 255 Wacha niongeze kidogo kwamba Kenya imewapiga kwenye idadi ya abiria wanaopitia kwenye airports. Kenya ina service sector kubwa kushinda yenu. Kwa mfano Kenya ina makampuni kubwa kushinda zenu hata tukiangalia banks, banks za Kenya ni kubwa ajabu ukizilinganisha na banks za TZ ambazo ni ndogo sana. KCB, EQUITY na Co-operative banks zina more capital kushinda banks zenu zote na ukumbuke kwamba Kenya ina banks 44 ilhali banks tatu zetu zina more capital kushinda zenu zote. Tukija kwenye telecomm sector, Safaricom pekee ina bigger valuation kushinda kampuni zenu zote za telecomm. Hizi data nipo tayari kumwaga huku. Yaani kampuni za kininafsi za Kenya ni kubwa sana ukizilinganisha na zenu. Kwenye kuexport tea, flowers, coffee, textiles na vegetables tumewapiga. Kenya tunaconsume more electricity na more petroleum products kuwashinda. Kenya tunaimport more goods kuwashinda kumaanisha tunaconsume more goods kuwashinda. Kwa mfano Kenya inaimport goods worth 14 billion dollars kila mwaka wakati nyie mnaimport goods worth 9 billion dollars kila mwaka.Kwa hivyo unadhani hakuna Wakenya wanaokwepa kulipa kodi? Wakenya ni Wakora na wajanja hata kushinda nyie Watanzania. Licha ya ukwepaji wote huo wa kulipa kodi na corruption nzito sana ambao upo Kenya unakuta bado tunakusanya kodi mara mbili yenu. Na sio tu kwenye kodi, nimenotice tunawadouble kwenye mambo mengi tu. Hata kwenye mambo ya port, Mombasa port inahandle double ya kiwango cha mizigo ambayo port zenu zinahandle. Tukija kwenye electricity production, Kenya inaproduce 3,000 MW wakati nyie mnaproduce 1,600 MW. Kenya ina Gdp zaidi ya $100 billion wakati gdp yenu ipo $70 billion.
Gdp per capita ya Kenya ipo $1,800 wakati yenu ipo $1,080. Access to electricity ya Kenya ipo 80% wakati yenu ipo chini ya 50% kwa hisani ya World Bank. Kenya ina kilomita 19,000 za lami by 2019 wakati nyie mna kilomita chini ya 14,000 by 2019. Kenya ina assemble magari takriban 10,000 wakati nyie mna assemble magari chini ya 2,000. Hatujawapiga kwenye ukusanyaji wa kodi tu, tunawanyanyasa kwenye mambo mengi sana. Kenya inapokea remittance ya $3 billion kila mwaka kutoka kwa Wakenya wanaoishi ulaya huku nyie mkipokea remittance chini ya $1 billion.
Nyie pia mumetupiga kwenye mambo mengi ikiwemo tourism, madini na agriculture.
ok.. kumbe gdp ya kenya uanga inawachoma sana kindanindani.. 🩲 . 🩲Mbn washakubali kwamba Tz ina GDP kubwa kuliko wao, kilichobaki ni mzungu kubadilisha namba tu kuweka $156bn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kikunya!Lugha Gani Umeandika?