Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa hajui kuunganisha picha zote azipost kwa pamoja ndo maana anapost mojamoja.
Halafu zote za kufanana sasa. [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu tofauti yake na kondoo ni harufu tu.
Anaboa kinoma alafu hata wakunya wenzie wanaboreka na upumbavu wake, hawampi like mana anaweza akapost picha moja mara kumi, ndio nn ss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Akiselct picha nyingi simu inamuandikia ''app is not responding'' do you want to close! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akiselct picha nyingi simu inamuandikia ''app is not responding'' do you want to close! [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa mafukara kinoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe wewe homeboy
 
Ikumbukwe Kenya ilifunga uchumi wake wakati TZ haijawahi kufunga uchumi wake. Halafu wajinga wanasema uchumi wa Kenya ni wa makaratasi.
Tony254, wewe ni muelewa wa haya Mambo ya uchumi, ninashangaa hii "Comment" yako. Muhimu katika hii taarifa ya makusanyo Kati ya TRA na KRA ni kulinganisha % za makusanyo ya GDP, ninakumbuka kabla ya Magufuli kufariki, Tanzania ilikua Inakusanya chini ya 12% wakati Kenya ilikua ikukusanya zaidi ya 16% ya GDP, Tanzania katika kukusanya Kodi bado tupo chini Sana, hadi Mozambique wanatuzidi, ndio sababu Magufuli alikua akibadilisha wakurugezi wa TRA kila mwaka.
 
lakini nyinyi wabongo mna vijimambo.. mara eti covid19 sasa kwa kiswahili inaita 'uvuko19' [emoji38][emoji38]. sasa neno 'uviko' ulitokea wapi tena na 'covid' yenyewe ni ugongwa geni sana sana, hata haija maliza miaka mbili.!
ndiyo ujue jinsi gani mlivyo mazuzu tunawafunza pia tunakuza kiswahili zaidi

correction chokoraa sema UVIKO hatuiti UVUKO

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
naona umemuweka mkora jobless huyo

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
@Kafrica
dyfre
Tony254
kafrica
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…