waambie waTz-uzu waache kuji compare na Kenya.Hii battle naona ni kujifurahisha tu ila maisha yetu Tz na Kenya yako chini sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
NAIROBI NDO MJI MZURI EAST AFRICA NA MOMBASA UWEZI COMPARE NA TANZANI HAPA DAR ES SALAM MJI UPO KAMA MAFUNGU YA NYANYA MVUA IKINYESHA NI MIMAJI TU ACHENI UBISHI WA KINA MADENGE KENYA WAKO JUU MKUBALI MKATAE NDO MANA KATIKA BEAUTIFUL CITY IN AFRICA KENYA IPO ATA AIRPORT NZURI PIA KENYATA AIR PORT IPO...KAMA UMESHINDWA TATHIMI HIVYO VITU ACHA KUTYP PUMBA UMU NA KUTUTIA AIBU TZ KENYA IZ VERY BEAUTIFUL IN EAST AFRICA.
Hata huko kwenu mjitahidi sio kwamba mmetuzidi kila sectorwaambie waTz-uzu waache kuji compare na Kenya.
Ni kweli. Nyie mmetushinda kwa Urogi na OmbaOmba. Nyi si watu wa mchezo mchezo aisee...!Hata huko kwenu mjitahidi sio kwamba mmetuzidi kila sector
Hahaha. ......crap. .thread bado ipo onfire ispokuwa tu watani zetu wamepotea kwa mda kwasababu wengi bado wapo mashinani,walienda huko kupiga kura na kuikimbia Nairobi ili kujiweka karibu na familia zao.
wakirejea nairobi,utaona wakiweka picha za CBD na upper hill kama kawaida yao.vuta subira.
wakenya wengi bado wapo mashinani,hawajarudi nairobi.
kuna baadhi ya maeneo ya nairobi bado hali ya usalama haiko sawa.
nairobi kukitulia wataanza kuku-comment kama kawaida.
hatimaye mmeanza kurejea mmoja baada ya mwingine....nimemiss picha za CBD na upper hill.

sio siri kaka,ni kama tumesha zoeana.msipokuwepo hapa tunajihisi unyonge sana.Kumbe mnatupenda hivo....tusipokuwa humu mnajihisi wagonjwa...Hahaha. Thanks guys. .am back