Ebwana kuna uwezekano moja ya haya maji yanapita kijijini kwetu. Picha lilianza hivi:
Vipi mnachukia pale anapokamata Ng'ombe wanaoingizwa Tanzania bila kibali eti kwasababu tu wamasai wa Kenya na Tanzania ni ndugu?, Ina maana undugu unafuta Sheria za nchi?, Mbona zaidi ya Ng'ombe 3000 za Rwanda zilitaifishwa na hatukusikia Rwanda ikisema Magufuli anachukia Rwanda?, Vivyo hivyo kwa vifaranga?Tangu lini Kenya ikafaidika kwa mgongo wa Tanzania? [emoji1787][emoji1787]
Tangu lini Kenya ikafaidika kwa mgongo wa Tanzania? [emoji1787][emoji1787]
Daima tunasonga mbele hakuna kuwasubiri jirani wazembe, watakoma kuwa karibu na Tz mana tunawachoresha kweli kweli. Huku Busisi, kule Tanzanite, pale Kigamboni, nyuma Mkapa, wakigeuka BRT, hawajakaa sawa Dodoma the new City, wakilia tunawaongeza na electrified SGR, kabla hawajanyamaza tunawapiga na modern Airports and Ports, wakati wanashangaa shangaa tunawagonga na new ships, new planes, new ferries etc
Mkunya will remain Mkunya as their reasoning is full of Ukunya!Vipi mnachukia pale anapokamata Ng'ombe wanaoingizwa Tanzania bila kibali eti kwasababu tu wamasai wa Kenya na Tanzania ni ndugu?, Ina maana undugu unafuta Sheria za nchi?, Mbona zaidi ya Ng'ombe 3000 za Rwanda zilitaifishwa na hatukusikia Rwanda ikisema Magufuli anachukia Rwanda?, Vivyo hivyo kwa vifaranga?
Na GDP ushuzi🚮Daima tunasonga mbele hakuna kuwasubiri jirani wazembe, watakoma kuwa karibu na Tz mana tunawachoresha kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbn washakubali kwamba Tz ina GDP kubwa kuliko wao, kilichobaki ni mzungu kubadilisha namba tu kuweka $156bn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na GDP ushuzi[emoji706]
Hii lini aise? Nahisi EACOP.
Mdanganyika ni mdanganyika tu[emoji1787][emoji1787]Mkunya will remain Mkunya as their reasoning is full of Ukunya!
siniliwaambia huyu ni kilaza wa aina yake 🤣🤣👇👇👇👇Weka bangi kando. Dar Moro bado haijakamilika baada ya miaka mitano ya ujenzi.
sio mm niliesema 🤣🤣🤣🤣Mbona nyali bridge hawauzi
Kwhyo una support uzushisio mm niliesema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwanini nisi support ikiwa anaongea ukweli 😂😂😂😂😂Kwhyo una support uzushi
Nionyeshe bridge moja tukwanini nisi support ikiwa anaongea ukweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]