Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

size yake

Wewe ni mzee lakini uko na akili ya mtoto. How can you compare an airport handling more than 500,000 passengers a year na hicho kibanda cha kuku. Hiyo Bukoba hata inaezandle 2,000 passengers kweli?😂😂
 
Emu nitajie hapo kipi nimesema uongo[emoji1787][emoji1787]
Ukweli mchunguee, kenya huaga tukipiga bao basi wengine hifurukuta sana nao waje wasawazishe...

Expressway mtasubiri sana
hiyo project ya mombasa na express way ziko poa ,huko pengine ni mmefanya ujinga mtupu,

rudi kwenye maada yangu na usipende kudandia maada ,kazi yako wewe ni kupika na kumfulia nguo mme wako masuala ya mitandao hayakufai bila shaka umenielewa we mlimbwende

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mzee lakini uko na akili ya mtoto. How can you compare an airport handling more than 500,000 passengers a year na hicho kibanda cha kuku. Hiyo Bukoba hata inaezandle 2,000 passengers kweli?😂😂
not the traffic but the size is all what matters! FYI Bukoba airport handled 45,000 PAX last year!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…