Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na hawa je. walitokelezea na upande gani
 
wht i think i knw is tht, the hadzabe pple came from the south just like the ngoni pple, coz of their cliqueing sounds like the zulu and xhosa
 
Wakishaingia abiria hiyo siyo trial ndugu yangu, hata mabasi ya mwendokasi uliona yalikuwa yanapiga tupu, huwezi kufanyia watu majaribio
Huwa wanafanya na abiria pia kupima effectiveness na efficiency ya train, plus platform capacity and handling during boarding and disembarking including timelines zake na pia how the system cope with passengers from the station such as ticketing, HVAC systems and other services related to passengers from the station to the train. You cannot initiate a service without those pertinent issues being resolved.
 
Huo ni uchawi wa wanasiasa wa Kenya ku justify matumizi ya hela kwa mazuzu kama hawa maana wanawajua ni washamba na wanapenda sifa na vitu vya kizungu. Kura kama zote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata majadiliano ya juzi na kadogosa anaongelea train yoka German sio Australia
Kaka lazima uelewe kwamba hatusemi tutakuwa na train ambazo sio quality, naamini bado kwamba serikali inaleta vitu vya uhakika tena vipya kama ilivyo fanya kwenye ndege, lakini kama haya old fashioned yamenunuliwa kweli tena used ni ya nini, kuna mtu au watu wamepiga dili, msemo wa Geza ngoja tusubiri Taarifa ya TRC na serikali.
 
Ya dodoma tayari mnatembelea nyota ya wakenya
Kenya mna road Kama ile inayojengwa Dodoma? Tangu lini mkajenga vitu standard nyie zaidi ya kufosi mambo? Mlipoona tumejenga 3level ya kwanza East and Central Africa na nyie mkaiga kuilazimisha expressway ipite maneno hata yasiyo lazima mradi tu na nyie mpate 3level🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuweka abiria ni hatua ya mwisho kabisa kwamba umesharizika na kila kitu kiko sawa, na lazima umtumie train zenyewe kabisa utakazotumia kwenye mradi, bado nasisitiza hakuna sehemu duniani wananunua vichwa kwa ajili ya majaribio tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…