Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ur fellows were saying Nairobi GDP is $46 bln!
 
Ati Kisumu international airport without a cold/fresh cargo terminal! 🤣🤣🤣🙄🙄🙄
 
Ulizoziona ni za zamani, si mpya...hii yenu ni mpya si mbaya, lakini muundo wa kizamani.....tegea hapa tu uone yale makuu yanayokuja. Mteza bridge yenye urefu 1440m imeshikana na Tsunza bridge
Daraja liko fiti sana ila muundo wa kizamani kidogo, fanya utafiti uone miundo ya kisasa.. hizo za Mombasa ni za zamani. Daraja la Mteza 1440m limeshikana na Tsunza 660m zote zitakuwa tayari mwaka huu. Tegea uzi hapa uone Mambo.
 
wacha ujinga wewe muundo wa kisasa ndo upi huo as far as cable stayed bridge is concerned!? Hebu leta cable stayed bridge tofauti na hiyo!
 
Wangefanya njia nane mpaka chalinze alafu njia nne mpaka huko morogoro
Nafikiri kwamba kwa sasa hiyo idea ya barabara ya njia nne kuanzia kibaha hadi chalinze - Morogoro siyo mbaya sana. Itakuwa ni rahisi kwa baadaye kuongezea lanes nyingine 2 au hata zaidi kulingana na bajeti ya nchi. Jambo la msingi ni kuacha road reserve ya kutosha ili serikali iepukane na kulipa fidia baadaye.
 
This guy loved Tanzania more than any County, Katika Moja ya Video zake alisema Tanzania ndio nchi Pekee Africa iliyochukua Moyo wake.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…