Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe according to Tanzanian,

This area👇👇



Is better than this👇


👇
 
All of them are.........for every country............apart from the blind likes you have over here youve got nothing on Kenya.....make peace with that
Those Tz companies on the list are public listed companies but we have several larger ones that are not public listed.
 
Muulize kuhusu moroko kama nao wanategemea mafuta
Hahahaha eti service dominated, ni services zipi mnazoziuza nje ya nchi na kuwaingizia billions of dollars kwenye GDP yenu?

Elimu yenu mavi kweli 🚮
Mumshukuru Mzungu kwa chai na maua yake!
 
Sasa iyo south c yako unaturingia nyuma ya ghorofa kuna pori, ata sio pori kwanza ni jangwa 😅😅 ebu kuwa seriasi mzee
 
Hii mtaa inaungana na wap naona katikati ya mji sio mbali...
Anyway makumbusho ni sehemu ya kawaida sio cbd kinachofanya kunakuja juu kwa kasi ni uwekezaji unaofanyika kila siku....section ya morocco to mwenge iyo south c haitoboi...ila makumbusho pekee yake ni padogo sio pakubwa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha eti service dominated, ni services zipi mnazoziuza nje ya nchi na kuwaingizia billions of dollars kwenye GDP yenu?

Elimu yenu mavi kweli 🚮
Mumshukuru Mzungu kwa chai na maua yake!
KCB ni kampuni ya Tanzania?
What about Equity, hiyo pia ni kampuni ya Tz?
DTB bank ni kampuni ya Tz?
I&M ni kampuni ya Tz?
 
South C iko along Mombasa Road.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…