Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama zitakua nne nafkiri kutakua na Mini Flyovers na Bridges nyingi bila kusahau Service Roads. Bado itapendeza na Itapunguza Foleni sana. Hii barabara ikipanuliwa Vzr itaongeza Biashara na Pesa Nyingi sana.
Wangefanya njia nane mpaka chalinze alafu njia nne mpaka huko morogoro
 
namdhamini na kumuenzi sana mrh. mwl. julius kambarage nyerere, sababu aliidhamini sana kenya, ata kuupaka aina yote ya rangi,.... mara alitaja kenya kama 'ulaya',... mara kaitaja kama 'uzunguni',... mara nairobi ni 'london'. etc.
mwalimu nyerere hoiye!! 🙌 your legacy lives on!... continue resting in power..
 
Baada mwl nyerere kuyasema hayo yotee akamalizia na " kenya is the man eating man" wewe unafikili ni kwanini?
 
💯✔umesema vilivyo🔥
 
Rubbish, serikali ndio iwalipe nssf sio kutoza Watu..

Kwamba nssf saizi wanamiliki kipande cha bahari ukitaka kutumia lazima kuwalipa sio?

Hakuna logic hapo, serikali walipe nssf pesa zao na tupite free unless madaraja yote yatozwe..

Yaani kwa sababu vigogo na mabalozi wanatumia njia ya coco beach basi mnaona shida kuwatoza kwa visingizio vya kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…