Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Brt was a good idea but now the slum or uswazi problem in dar......should it be ignored. View attachment 2108619
Da afadhali wewe umeni jibu ,basi najua leo nitapata na ili jibu ambalo nimekuwa sijibiwi wa wakenya siku zote [emoji16]......eti kenya kuko na slum ngapi ? na nailobi peke yake ziko ngapi?
 
Nataka jibu kenya kuko na slum ngapi ? Pia wakunya wenzako wengi walisema hivyo hivyo kuwa dar is slum ila walipo sema wanakuja dar watapiga picha na kuthibitisha dar is slum wakaishia kusifia tu kwenye tweet ,hata kuna yule majuzi mlionyesha kuwa anakuja tz hadi leo kimya
 
Mumeona hamuwezani na The Mighty Nairobi mkakimbilia capetown....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cape town and Nairobi got no uswazis
😂😂😂 Mnatutia aibu jirani zetu, heb muache kutaja world class Cities na hicho ki tiny town yenu, kilichojaa vumbi kila mahali
 
So according to your logic, Arusha is better than all those cities including Cape Town and Cairo? 😂😂😂😂😂😂😂😂
Arusha is Africa's Safari HQ so ni unique than any in the list, pia Mbeya ipo featured vile vile, hii inatoa picture kwamba Tanzania isn't only Dar but there are many places auspicious than famous peers, Kenya is opposite.
 
Arusha is Africa's Safari HQ so ni unique than any in the list, pia Mbeya ipo featured vile vile, hii inatoa picture kwamba Tanzania isn't only Dar but there are many places auspicious than famous peers, Kenya is opposite.
Arusha ndio ishinde casablanca[emoji1787][emoji1787]
Tutolee data uchwara hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…