Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikuwa na wazo..In future like 2030 and on...ijengewe SGR ya ku link Dodoma (Govt Capital na Arusha hadi Moshi..kushuka Tanga Port...hii itafanya bandari ya Tanga kuwa linked na SGR ya central line
Wazo zuri sana .
Nafikiri serikali itafute mwekezaji wa kujenga kipande cha tanga -moshi - arusha—dodoma yenyewe ichukue hisa itapata wawekezaji Wengi wakujenga Na hio ifanyike Kwenye kipande cha tabora -kigoma na isaka - rusumo.
 
Mumeona hamuwezani na The Mighty Nairobi mkakimbilia capetown....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cape town and Nairobi got no uswazis
 
lilie nyanyako mbona mna gdp duni....sio Kenya. Kelele za chura haizui Kenya kusonga mbele
 
How can a city with one flyover and two interchanges be the most developed in East AFRICA? Akili yako inakusai
Ukiwa na flyover na interchange ndio umeendelea? Hivyo ni vipunguza foleni tu.
 
BABA LEVO ALIWAAMBIA ....HIVI MKIZIONA ZILW FLYOVER ZAO....SISI DAR TUMEJENGA BICHI VIMBWI
Hehe....even these neanderthals vikifika Nairobi watalog out of here forever and regret why they live in the fishing village...I never blame their ignorance.....they don't have money to travel to other better countries like Kenya
 
Brt was a good idea but now the slum or uswazi problem in dar......should it be ignored. View attachment 2108619
ENYEWE TUAMBIANE UKWELI...WAKENYA WENZANGU...MBONA HATA TUNA WASTE TIME KUBISHANA NA HAWA WASEE...JUST LOOK AT THEIR SO CALLED CITY..ITS A TOTAL MESS, TOTAL CONFUSION, VERY DIRTY , VERY DISORGANIZED...HALAFU UTA GET MTU BADO ANABISHANA NA KENYA...REALLY...MIMI MAHALI IMEFIKA...naona watu wa maana tz ni wawili tu..Rais suluhu na baba levo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…