chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
🤣🤣🤣🤣 Nini cha 100 million hapo?
Mna miaka 60 ya uhuru mnakufa njaa, ongezeni tu makaburi ya wafa njaa sababu you won't make any changes any sooner 🤣Thats why I said until we start our modern farming ama Nini hukuelewa hapo
Note hii ikulu ina 2 basement floors🤣🤣🤣🤣 Nini cha 100 million hapo?
Hivi hiyo library inalingana na hii ikulu ya 98 million KES?
Yaani Wakunya kuanzia viongozi wenu mpaka wananchi wa kawaida wote majizi na waongo
Linganisha hicho choo cha 100 million KES na hii Ikulu ya 98 million KES (2 Billion Tsh)
View attachment 2106156
View attachment 2106157
Na tukaambiwa mapato yamepanda sana na watu wanalipa kwa hiariNdo nashangaa na mimi wakati alitamka mwenyewe kuwa ''Task force'' sio nzuri na haifai.
Mchina akishaona una uwezo wa kulipa mkopo wake hakupi. Wengi anaowakopesha wanastrugle kulipa
CC: Tony254 hati hii ina ukweli wowote? 🙆♂️🤔Mchina akishaona una uwezo wa kulipa mkopo wake hakupi. Wengi anaowakopesha wanastrugle kulipa
Sasa vikosi kaz vya nn hivyo wakati vilivunjwa vyotekwa hiyo kwa hiari ina maana kutolipa?
Tutaelewana tuu 😅Ndo nashangaa na mimi wakati alitamka mwenyewe kuwa ''Task force'' sio nzuri na haifai.
Kwahyo sahv hakuna ujenzi kisa jpm hayupo?Kama siyo kifo cha GREAT JPM HADI SASA 2022 TUNGEKUWA TUMEFIKA MAITAJI YA CEMENT MAKUBWA SANA MAANA JAMAA ALIKUWA ANA JENGA USIKU NA MCHANA VITU VYA KILA AINA VYUO MIJI MIPYA ,BUS TERMINAL, NEW BRIDGE ,VIWANJA VYA NDEGE ,VIWANJA VYA MPIRA ,NK
Maskini juha[emoji1787][emoji1787]Mchina akishaona una uwezo wa kulipa mkopo wake hakupi. Wengi anaowakopesha wanastrugle kulipa
Hahaha kwahyo what is your point?Express way cost 72.5 billion Kenya shillings Tanzanite cost 12.68 billion Kenya shillings so the express way cost can build 5 tanzanite bridges in Nairobi
Kitu kile kile walikua wanakipinga Ndio wanakifanya, hvi wafanyabishara kweli ni watu wakulipa kodi kwa hiari bila kuwakalia ngumu🤔Wajinga wale walimuona jpm mpumbavu sasa chup zinawashuka kwa maneno ya vinywa vyao wenyewe
Hawa ndio mchina anawataka hawa😀. Keshaingia KingiCC: Tony254 hati hii ina ukweli wowote? 🙆♂️🤔
Na tukaambiwa mapato yamepanda sana na watu wanalipa kwa hiari
Tutaelewana tuu [emoji28]