The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Hii ndio raha ya kuwa na nchi yenye inclusive economy co paper economy, hapo ingekuwa Kenya raia wangelipishwa kupita hapo juu lkn Tz ni bure kabisa kupita hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wamebakia kupost expressway ya mchina ambayo hawataitumia bila malipo kwenda kwa mchina kwa miaka 30[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2105256View attachment 2105257View attachment 2105258
mbona nairobi siioni 😂😂😂😂😂 au dunia imebadilika
Amejiharibia kivipi?Waziri mkuu kajihalibia sana alikuwa mwanafunzi no 1 wa magufuli ila kumbe ni zuzu tu
mbona nairobi siioni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au dunia imebadilika
Hawa jamaa hovyo kabisa, siyo sahihi kuwapiga hao watoto, walitakiwa kwanza kuwapatia msaada.
MY TAKE
Hii ni hatari na inakuwaje waendeshaji hawakagui gari kabla ya kuondoka?
Hata UK waziri wao mkuu majuzi aliongelea kuondoa vikwazo vyote vya covid. Tanzania tulikuwa na bahati sana kupata kiongozi mwenye maono.
umeshabadili gia angani😀😀😀😀😀😀Mkunya yeyote akileta MFV nalog off [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2104501
mtu wa njombe kawa mzanzibari tenaWazanzibar mnachukia wabara mnatamani muwe mnawasafisha mavi wa oman na waarabu kuliku kuwaona wabara nani asiye wajua ila huu wakati msipo utumia vizeri kuvunja muungano basi mjue mtalia milele ,cheki bara kuna mgao wa umeme ila wazanzibar wamewekwa nje ya mgao kwa hiyo zanzibar haipo kwenye mgao niambie jwanini?
Teargas Nicxie leo niko mitaani kidogo karibuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
niko na mini cooper(s)
supercharger with intercooler
manual transmission 7gear speed
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 2105418View attachment 2105419View attachment 2105422View attachment 2105424
Wameshaanza kuwa excluded [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbona nairobi siioni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au dunia imebadilika
Sure.Hata UK waziri wao mkuu majuzi aliongelea kuondoa vikwazo vyote vya covid. Tanzania tulikuwa na bahati sana kupata kiongozi mwenye maono.
Wee ndiyo yule yule opportunity cost tunakujua mzee.mtu wa njombe kawa mzanzibari tena
Hii chombo inaenda ngapi sahv? His naikubali sana mini cooperTeargas Nicxie leo niko mitaani kidogo karibuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
niko na mini cooper(s)
supercharger with intercooler
manual transmission 7gear speed
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 2105418View attachment 2105419View attachment 2105422View attachment 2105424
We mpemba acha upuuzimtu wa njombe kawa mzanzibari tena