Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hebu muwe na super structure hata ya 100 m ya cable stayed bridge basi mtoe tongotongo! muache uchawi kwa accomplishments za neighbor! khaa mnatia aibu!
Hapo super bridge mzee, hilo ni daraja la lawaida sana..
Hapo mumepigwa
 
Mnajifari na kadaraja dwarf in the name of super bridge[emoji1787][emoji1787]
Pole sana, hapo mumepigwa, yani mumewekewa michuma pembeni basi mnakuta kwisha...
It's the longest bridge in EA and central Africa currently.. Madaraja ya aina hiyo kwa Afrika mashariki yapo bongo tu.. 😂😂😂 maumivu yakizid muone daktari
 
Kitu mlifanya na nawapongeza ni kuweza pigia magoti hao chinese wakawajengea hiyo express way...hapo wala sipingi imeboresha sana muonekano wa mji wenu, lakini pia imeonyesh ni jinsi gani kanairobarry ni tiny though[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mganda anatakiwa awe na ka refinery chake cha matumizi yake na yetu, probably ipo na ikiwa realized Mombasa port itakua ya Kenya peke yake, mafuta ya mganda ndio yanaibeba hiyo bandari.

This makes Lamu elephant even more whiter 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…