Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua wakenya mnaupuuzi wa asili,huwezi kukubali kua mpo nyuma ya iyo miji lakini unataka uniaminishe ujinga kwamba Nairobi ni pako mbele...mtafute mkenya mwenzio mkadanganyane....wacha watu wa shoot video wanakuona panawapendeza...ingekua kwenu pana level iyo video zote wange shoot kwnu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukweli unawauma sana....
 
Let's wait 4 the second phase...
hawa machalii wanadai brt haifai nairobi...is it true Au wanajifariji?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa ni sizitaki hizi mbichi, hamna lolote. System ya BRT simchezo, ukichukulia cost per effective reach yaani sio tuu tumepiga bao bali kanzu na tobo. Watanzania tunaakili wewe, hatuigi tu mambo hovyo hovyo.
 
we jamaa kweli ni mwehu hiko kijiji chenu cha nairobi unacompare na durban S.A ......level ya nairobi ni mshindane na malawi[emoji23] [emoji23]

AT DURBAN S.A



AT NAIROBI KENYA
hebu tazama uchafu wenu
 
Jesuuu[emoji15][emoji15][emoji15]
Unaijua Cairo wewe ..unaijua Casblanca ..algeris ...au unajifanya huoni ..hamna matata wala matatu kule ...[emoji23][emoji23][emoji23]
hawana akili hao
 
Jesuuu[emoji15][emoji15][emoji15]
Unaijua Cairo wewe ..unaijua Casblanca ..algeris ...au unajifanya huoni ..hamna matata wala matatu kule ...[emoji23][emoji23][emoji23]
kuja na statistics kwenye meza. ni Casablanca na Algiers btw.... Algeria kuna vita, Casablanca sioni zaidi ya passenger train yao. Cairo, population na towers... hawako mbali.
 
kuja na statistics kwenye meza. ni Casablanca na Algiers btw.... Algeria kuna vita, Casablanca sioni zaidi ya passenger train yao. Cairo, population na towers... hawako mbali.
So nairobi is far ahead of casablanca and cairo ryt?????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
kuja na statistics kwenye meza. ni Casablanca na Algiers btw.... Algeria kuna vita, Casablanca sioni zaidi ya passenger train yao. Cairo, population na towers... hawako mbali.
East Africa bado tunajikongoja....uache kujifariji na thika highway, ni vitu vidogo sana kwa waliotangulia...Ila sijui nisemeje mnajitahidi lakini bado hamko top

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijui mbona most muslim cities ziko disorganized....pia Dar na mombasa ni part of that
 
Dar ni ugly.....most buildings like three quarter zinafanana....arabic style
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…