Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa itokee wapigane hiyo August
Sasa itokee hiyo August wapigane watajichukia! huku njaa huku Machafuko huku Al Shabaab!
 

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
At least one of you has a brain. To foreigners who want to see animals it's heaven but to the local burukenges it's a hellhole
hellhole kuliko huko Kunyaland kwenye njaa?
 
Sio tunaoenda,ni wale washenzi wa Mwendazake wamewekwa pembeni wanalia Lia tuu,achana nao hao mbuzi..

Ujue walijiaminisha kwamba mwendazake ni mfano wote wanatakiwa kufuata kumbe alikuwa mwehu walikuwa wanafunika Kombe mwanaharamu apite..

Mwambie hadi saizi kuna kitu gani cha maana mwendazake alifanya na kukamilisha kwa miaka 6 yote, nothing lakini kwa Samia ndani mwaka mmja mengi keshafanya.

Na hivi ni Mzanzibar na pia mwanamke tena muislam, baadhi ya Sukuma gang hawamkubali ila majority tuko na mama.
 
Chengdu wako vizuri sana...yaweza Kua ndio Chicago ya China...ila kuna vitu unajua utapata states usivipate china...state itabaki Kua state mkuu,ukipata fursa ya kwenda state ndio utaona tofauti...Chedgu nmesalute wako moto nao sio mchezo
Mkuu cjafika marekan lakin china noma sana hasa kwenye upande wa barabara marekan akasome
 
Ndio maana ni wachache kwa sababu Dunia haipendi watu wapumbavu kama Mwendazake bali watu wanaotumia akili..
 
Uharibifu wa nature,hakuna mtu atafanya huu ujinga wako.
 
View attachment 2102392
Hivi si ndo huyu mwanamke aliyekatikati?
Mama wa kisomali huyo lakini ni mbunge kunyaland, katundika picture ya Rais wake wa moyoni na bendera yake officeni, wakunya wakamnyang'anya ulinzi, hapo naona kaorder snipers from home, KDF mavi chupini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ