Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

only kenya and sa. in africa!.
hio ni kidonda ndugu kwa mtanganyika

View attachment 2101638View attachment 2101636
Mimi hata sioni cha kutamba hapa, utaassemble vipi hiace DSM wakati hazina soko, Hujiulizi kwanini hiace na sio coaster?. Same way to isuzu na ndio maana hamtakaa mnunue magari mengine kwaajili ya BRT, matatu is there to stay kwakuwa ndio mteja mkubwa wa isuzu na isuzu hawatakubali muache kutumia canter kwa kusafiria
 
Mtu uliyemshinda GDP anauwezo wa kuzalisha chakula kingi na anakugawia na wewe.Unayemzidi GDP anakuacha kwenye credit capacity🀣🀣🀣siku tukitumia mbinu yenu ya kirebase tutakua na GDP ya $200bln
mnangoja nn?. muli rebase in 2013, na sisi 2014.. mukiapisha, tuna apisha
 
Sasa ndio uweke hapa hivyo vitu vinavyofanya muwe developed kuliko Tz hasira pelekea jubilee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtu uliyemshinda GDP anauwezo wa kuzalisha chakula kingi na anakugawia na wewe.Unayemzidi GDP anakuacha kwenye credit capacity[emoji1787][emoji1787][emoji1787]siku tukitumia mbinu yenu ya kirebase tutakua na GDP ya $200bln
GDP ya kweli ya Tz kwa ss ni $150bn.
 
Mtu uliyemshinda GDP anauwezo wa kuzalisha chakula kingi na anakugawia na wewe.Unayemzidi GDP anakuacha kwenye credit capacity[emoji1787][emoji1787][emoji1787]siku tukitumia mbinu yenu ya kirebase tutakua na GDP ya $200bln
mnadhani ni vitumbua za uswazi........nyinyi mkirebase mnashuka hadi 40.........very poor country
 

Magari kutoka Kenya yamejaa Tanga pale MLL yanafata clinker.
 
Hii case vipi hii? 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Anatafuna mishahara ya Wakunya kumbe roho na nafsi vipo Mogadishu home πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚





 
Good Morning Dar es salaam,Good morning Tanzania

View attachment 2101673

View attachment 2101674
Nashangaa kuona Wabongo mnaambiwa muanze kulitumia daraja siku ya juma nne kabla ya mama kulizindua rasmi? Si mama angelizindua kwanza ili na nyie vigogo muanze kulitumia daraja? Au mama hapendi mbwembwe za uzinduzi wa miradi? Uzinduzi wa miradi ni njia rahisi ya yeye kupata uungwaji mkono kutoka kwa wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…