Uchaguzi mwema wakati ameshakimbilia Uganda. Hata na baisikeli jamaa hawaachi. Safari yao nikama hawato rudi milele kikinuka. Kumbe mihoga kichizi hii mijamaa. Kwa sasa utasikia wengine wameenda Somalia.Ooh kwani ni kama bei ya sgr
sent from iPhone 7
Bei ya SGR simulipigwa na wachina kisawasawaOoh kwani ni kama bei ya sgr
sent from iPhone 7
mmeshindaje masufferer wa tanzania na masonko wenzangu wa Kenya. ..
eti holidays...smh.
huna la kunidanganya kaka.nimeishi kenya kwa mda mrefu hivyo nina uhakika na nililo zungumza.
katika kampeni za uchaguzi zilizopita ambazo zilizomuingiza uhuru kenyatta kwa mara ya kwanza katika urais mwaka 2013,nilikuwa nairobi.
siku chache kabla siku ya kupiga kura,nilishuhudia kwa macho yangu taharuki iliyotanda miongoni mwa wakazi wa Nairobi.
baadhi waliikimbia nairobi na kurudi ushago/mashinani kuhofia ghasia.
nilitaka nibaki mpaka siku ya kupiga kura,jamaa zangu ambao ni wakenya walinishauri nirudi tz mpaka uchaguzi upite ndio nirudi kuendelea na shughuli zangu.
Hawa jamaa ni waoga jamani. Nimesena baadae tutasikia wapi SomaliaView attachment 559432
wewe shinda hapo na propaganda zako. . currently enjoying life at home in Kisumu before heading to ushago in the evening where i registered.The gubernatorial seat is what made me register at home because a close family friend has high chances of clinching it.We want to rid our county government of corruption
asante sana alphonse simbu kwa kuiletea heshima tanzania.kidogo kidogo tutafika.inshallah
asante sana alphonse simbu kwa kuiletea heshima tanzania.kidogo kidogo tutafika.inshallah
Geoffrey kirui is the new world Marathon winner
sent from iPhone 7