Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

WFP imeiorodhesha Kenya miongoni mwa mataifa yanayopokea msaada wa chakula ikifuatiwa na N.korea.
Tanzania hatupo ktk hiyo orodha.
Umewahi sikia lini bongo tumepewa msaada wa chakula kama Kenya?
 
State of poverty in all african countries is the same. Yes we have gravel roads and so are you and many more African countries
Who lied to you that poverty levels in Africa are the same? There are 28 million people living in extreme poverty in Tanzania. This is not the same case with SA or Kenya for instance
 
Wacha tu nikunyamazie. I'll just save this post for future reference
 
Wacha tu nikunyamazie. I'll just save this post for future reference
Kuwa makini usije kupotea, usijiingize kwenye vurugu za kuondoa Mama Ngina madarakani, na sahizi tayari kimeshaanza kunuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyumba kama hizo na ukijani upo sana tu na zaidi Kigamboni apartment za watumishi,NSSF na Avic town.
Dar hakuna green spaces na leafy suburbs kama za Nairobi and that's why mkiona picha za leafy suburbs za Nairobi you console yourselves by saying Nairobi ni misitu. Kitu hamjui ni kwamba chini ta hizo "misitu" as you call it ni nyumba za Kiana.

And then we all know your best neighbourhoods can't come close to our best neighbourhoods. Masaki yenyewe ni apartments kushoto kulia na ndio mtaa WA kifahari kuliko zote Dar and Tanzania at large. You can't get apartments in places like Muthaiga, Runda, Karen, Loresho, Kyuna, Gigiri and such places.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we mkenya umenifanya nicheke tu.
Mie sina cha kukujibu.
Ungekwa na eulewa kuliko hiyo yenye uko nayo, ungeelewa nolichojaribu kumaanisha. Unfortunately you don't
 
Kisumu has more 4 start hotels than Mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…