Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Laki sita, hawa kweli wanajua kitu kinaitwa laki sita na uzito wake kweli[emoji1787][emoji1787]
Huku bongo hata mwalimu wa sekondari halipwi pesa hiyo.. 600k ni pesa ndogo mno, maskini wa NAIROBI akija kuishi Dar anakufa, mana kama muajiriwa wa serikali analipwa pesa hiyo na ni 60% of Kenyan civil servants 😂😂😂 nyie jamaa ni huruma
 
That is During Peak time and it's like that in every corner of the World, Nenda Asia, Europe etc Hadi subway za wazungu watu Wanajaa na wengine husimama, I can't imagine a peak time ride in Matatu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Twende kwenye mishahara ya walimu sai uone km utatoka mzee[emoji1787][emoji1787]
Mwalimu wa kawaida bongo anakula laki na nusu acha uongo wako hapa
 
We unajua kitu kinaitwa laki, yani hapa duniani waume wanapotaja laki nyie mnastahili kutulia[emoji1787][emoji1787]
Tuongee kw ksh tu, usinitie kichefuchefu mie
 
Only stupid leader like Jommo Kenyatta can do that, if normal Kenyan citizens is not confi
EA nzima tangia wanasiasa na wenye hela zao likija swala la afya wanakimbilia kenya, hzo propanga wao ndio wanazitengeza lkn ukweli wanaujua..

Subiria mseven aumwe km hakuja nairobi
 
We ni wa kupuuzwa, sai unashikilia rekodi ya kuwa kilaza nambari moja jf
That must be a salary scale for 1995..The lowest earning person in Kenya nowadays has a basic of 12k minus allowances. Yeah,we get it that you hate Kenya.....we don't need reminders.
 
That must be a salary scale for 1995..The lowest earning person in Kenya nowadays has a basic of 12k minus allowances. Yeah,we get it that you hate Kenya.....we don't need reminders. View attachment 2097629
Ndio nawashangaa mimi, 12k(basic salary) hyo ni lowest kabisa yani...
Alafu hapo hapo utakuta ana 3k allowance ya usafiri na vitu vingine vingi..
Akitaja sekta yyte serekalini nitag, natala kuuwa mtu leo
 
Umeelewa hiyo statement uliyo I qourte au unahemka kwa nyege? Una upumbavu mwingi kichwani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…