Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
😂😂😂 Wako hapa kupigazana na sisi, mipuuzi sana hii mijamaaNairobi hiyo mkuu, over 90% inakaa hivyo.
Kwa ss wana shida ya maji, hapo ndio wadada wabeba mandoo kutafuta maji, hayo ni maji ya kisima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hiyo ndio style Yao ya Ujenzi Hadi kwenye CBD, na vyumba ni sana ukubwa wa IST kwa ndani.Alafu wanakataa hakuna maghorofa ya udongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2096451
Yamekufikaee, naona umekurupuka nkm hukuelewa km umeulizwa nini..BRT ni system sio barabara tu manzee kama unavyodhania, BRT ni modern system of transportation, yani unapaswa kuheshimu BRT kuliko chochote..
Hzo ni blocks mzee, sema watu wa upcountry bado wana upuuzi wa kutopiga palasta na rangi kw nje ambayo hyo ni hatari sana kufanya jiwe likinyeshewa linanyonya maji tofauti na palasta/rangi kukinyesha maji hutelezeshwa km sijakosea..Alafu wanakataa hakuna maghorofa ya udongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2096451
duh hawa wakunya land huu ujenzi wao ni wakiboya sanaAlafu wanakataa hakuna maghorofa ya udongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2096451
[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28] suti zimepunguammegundua kuwa waziri mkuu kapunguza kuvaa suti [emoji23][emoji23][emoji1787]
Kwnnmmegundua kuwa waziri mkuu kapunguza kuvaa suti [emoji23][emoji23][emoji1787]