Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tz is doing very well in that aspect usijisahau,we've done with dar port,JNIA T3 ,SGR will be operating soon,nyerere dam as well,hizi zote zitapump billions of money into our economy....Gold export inaingiza $2.8B as per 2021,our target is 5M tourist by 2025 tuzamishe $5B za utalii ,we r doing well
Hii nchi inakila sababu ya kupaa juu zaidi.
Plan :
Gold production iongezeke na kwa sasa Ndio kitu kinafanyika
Nickel / copper / cobalt uzalishaji Uanze na Ndio Kitu kinafanyika
Iron ore uzalishaji Uanze kifunguliwe kiwanda kikubwa cha kuzalisha steel africa , asia nk
Rare earth minerals / graphite uzalishaji uanze na Ndio Kitu kinafanyika
Kuwekeza kwenye kutangaza utalii imefanyika Tusubiri matokeo
Kuweka miundombinu mikubwa na Ndio Kitu kinafanyika sasahivi
Mradi wa kuvuna na kuchakata gesi uanze

Serikali ipunguze matumizi
 
what about this kidimbwi
Hiyo ni 400+ metres, equivalent to 4+ football pitches.. and it's modern than your ORR u posted, take a look 👇
27ad5931b5b55bf78743c5055f48269f7a9c3c80.jpeg
maxresdefault(77).jpg
6ff56107ae5e2360f45efb690196eca8.jpg
and mind you, hii barabara iko na Flyovers mbili, hii ya tazara na pale chang'ombe U/C .. unataka kulinganisha na ule uchafu sijui ORR 😂😂😂 wapumbavu sana nyinyi wakunya
 
Hii nchi inakila sababu ya kupaa juu zaidi.
Plan :
Gold production iongezeke na kwa sasa Ndio kitu kinafanyika
Nickel / copper / cobalt uzalishaji Uanze na Ndio Kitu kinafanyika
Iron ore uzalishaji Uanze kifunguliwe kiwanda kikubwa cha kuzalisha steel africa , asia nk
Rare earth minerals / graphite uzalishaji uanze na Ndio Kitu kinafanyika
Kuwekeza kwenye kutangaza utalii imefanyika Tusubiri matokeo
Kuweka miundombinu mikubwa na Ndio Kitu kinafanyika sasahivi
Mradi wa kuvuna na kuchakata gesi uanze

Serikali ipunguze matumizi
Wale Wachina wa $7bln investment Tanga wameishia wapi? Au wanangoja EACOP?
 
kwamba wangepiga Soup?
Gesture of satisfied community

Kuna mnijeria aliniuliza inawezekana vipi Tanzania ina wanyama wengi kiasi hicho kwenye mbuga zake, ina maana watu hawawawindi?

Zebras wapo kwenye makazi ya watu comfortable, najua upande wa pili kulivyo na njaa hawa wasingechukua round 😀

View attachment 2092512
usishangae hao watu wanakula mpaka monkeys ukiacha mbwa! Google bushmeat markets!
 
Na Kuna flyover nyingine (at least mbili) zaja SGR phase IIII !
Hawa jamaa wakitaja taja hivyo vi outer ring road vyao wanaona eti sisi tutakua hatuna barabara nzuri 😂😂😂 DSM iko na barabara kubwa kibao na most of them sikuhiz ni six lanes, 4 kawaida pamoja na 2 for BRT, actually our roads are better than theirs kwasababu zakwetu ni mult purpose, wako hapa kupiga piga kelele
 
Back
Top Bottom