Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona iwe ni watanzania peke yake wana msikiliza....wakati nchi zingine wanaendelea na chanjo..mbona msimsikilize anayeunga chanjo mkono maana wapo wengi pia..nyie mko kwa hali ya kuchukua tahadhari foolishly kila mara
Mjinga ni yule anayeacha kumsikiliza mtaalam aliyeshiriki katika ugunduzi wa mRNA technology na kusikiliza wanasiasa au waandishi wa habari. Wengi wao hata hawajui pipet au beaker inafananaje.
 
Sijui wewe ni wa mwaka gani ila mimi nilivaa label nyekundu enzi hizo
Kumbe wewe ulikuwa group 'B'.
Mm nilivaa ya blue, nadhani ww ulikuwa mbele yng kwa darasa moja enzi zile za Kwayu cjui tunaelewana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nami namkumbuka mzee Kwayu na Mchwampaka (nilisikia alishafariki).
 
Kumbe wewe ulikuwa group 'B'.

Nami namkumbuka mzee Kwayu na Mchwampaka (nilisikia alishafariki).
Mchwa mpaka alikuwa miyeyusho sn yule mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ni kweli kbsa ila mhh ngoja ninyamaze.. if i speak, i will be in trouble [emoji38]
nangojea tu 2025 nione mambo yalivyo
Kwamba wamerudia mchezo wa kumwaga maji, nadhani hata JNHPP ikiisha hakutakuwa na unafuu wowote cz watendaji ni simple tu wanamwaga maji kazi iendelee, hv mtu makini unawezaje kumweka mwizi sehemu nyeti vile au kuna siri hapa? Mana mambo yapo wazi wazi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…