Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vile wasanii ambao hawana hata shule kichwani wanavyotengeneza pesa mingi Tz baadhi ya picha za Diamond Platnumz akiweka mitonyo benki👇.. dyfre njoo hapa ujifunze vile unafaa kufanya uki claim kuwa uko na pesa




 
nina doubt sio yake.. kwa ilivyojikunja, nadhan kaokota jiran na atm.. pengine ni mlinzi [emoji849]
hiv ukimjaribu kesho atoe hata 1k nyingine afu akuonyeshe receipt [emoji3477] ya salio lililobaki atakubali? au utakuwa umempa mtego mzito
unataka niku proovie aje sasa.. nimekutumia hadi video. itazame hio receipt kwenye video ikiwa sijia kunja bado, mshefa wangu.
ntarudia tena baadae leo ka unataka
 
Huna lolote wewe mwanafunzi wa veta una safari ndefu sana kufikia uingineer
 
Hapa Diamond alizingua sana, ina maana ameshindwa kuajiri personal accountant hata part time? ndio maana wasanii wabongo wakifulia wanakufa kimbuzi
 
nina doubt sio yake.. kwa ilivyojikunja, nadhan kaokota jiran na atm.. pengine ni mlinzi [emoji849]
hiv ukimjaribu kesho atoe hata 1k nyingine afu akuonyeshe receipt [emoji3477] ya salio lililobaki atakubali? au utakuwa umempa mtego mzito
ntaku proovia zaidi kama unataka basi.
soma account No. 011166038839000024 kama sio. FREDDIE stands for dyfre
bado uko na tashwishwi
 
haya hii hapa.
receipt ya hapo awali Account No. 011166038839000024 iko clearer ongea sasa niskie nugu🐒🐒 hii
 
haya hii hapa.
receipt ya hapo awali Account No. 011166038839000024 iko clearer View attachment 2088779 ongea sasa niskie nugu🐒🐒 hii
personal detail sipendi kuoneshana, lakini mumeni skuma hadi ukingoni, hadi nimefanya mambo ambayo haikua necessary. but hope mmeridhika sasa.
munanitishia ili hame hii uzi... hii uzi sihami hivi karibuni, aky walai!
 
Ndo nini sasa hawa polisi wa Dodoma? Kwa nini wanapoteza pesa ya mafuta kuwaongoza, badala yakuwapiga tochi na kuwapa faini kubwa ili wasirudie?
Tatizo kubwa la Afrika kwa ujumla ni uwezo mdogo wa kufikiria, hilo zoezi haliwezi kuwa endelevu kabisa, sidhani Kama litadumu hata wiki Moja, bure kabisa Hawa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…