Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anakwambia mwaka huu hakuna kuguza mshahara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nionyeshe hiyo pikipiki iliyosajiliwa na MC🀣🀣
Kama hujui kitu kaa kimya πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ


Aisee wabongo salaam nyingi toka nchi za watu huku!
Naona team ya + 255 inawapa kunguru za kikunya doze kamili🀣🀣🀣🀣🀣JF inazidi Kua chungu kwao 🀣🀣🀣
 
Wanaforce kuishi kama wabongo ndio tatizo πŸ˜…πŸ˜…
 
Hii data ya statista pia nilipost hakuona? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kwani kwa hiyo statista.com haukuona Kenya., kwanza tumepimwa kwa 1000 metric tons.., 1 metric ton is 1000 liters so Tanzania in 2020 ni 3.6 Billion liters. Kenya ni 4.67 Billion liters., zaidi ya billioni moja! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…