na jangwani penyewe sababu pale kuna mto likini ukienda nairobi kwa wazee wa infrastructure ni shida hadii juu ya vipisi vya fly over[emoji23] [emoji24]
10yrs na bado muko nyuma sana.... kutujazia thread na tutower tuwili tu. ukiuliza mKenya yeyote akutatajie tower za dar atakuambia pspf na tpa. basi. jifundisheni marketting tafadhaliHahah mulikua munataka kuona beauty of tanzania hahaha naona mumepata na homa
696 km sq yani inaingia mara tatu kwa dar hebu imagine ndio maana nikakwambia sio level yenu dar😀😀😀😀😀
Remb just 10 yrs my friend
Lini inaanza??Jangwani project hii hapa na pesa zishatolewa na world bank😀😀😀😀
View attachment 557235 View attachment 557237
leta tu. ungekuwa unatumia hio energy ku market dar.nairobi pia ina mito kadhaa iliyokatiza katikati au pembezoni mwa jiji.moja ya mito hiyo ni mathare river na nairobi river.kuna wakati hii mito husababisha uchafu mwingi sana kwa jiji.ni kinyaa hata kupita jirani na hii mto.nitaleta picha.
toka kabisa nje ya jf nenda nairaland ukatukanane na nigerians and ghanaians.ndio kwa maana nimesema mukileta picha kuboesha uzi, mimi kwa upande wangu nitachukua some time off from this thread mpaka irudi sawa.
yaani jiji la 696sqkm linawatia joto mpaka mumeamua kuleta linchi lizima???? smh!
Hivi hapa kuna towers ngapi.?? You may not finish counting10yrs na bado muko nyuma sana.... kutujazia thread na tutower tuwili tu. ukiuliza mKenya yeyote akutatajie tower za dar atakuambia pspf na tpa. basi. jifundisheni marketting tafadhali
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hivi hapa kuna towers ngapi.?? You may not finish countingView attachment 557246 View attachment 557248 View attachment 557250 View attachment 557246
Ukimuuliza Mtanzania akutajie towers za Kenya ni Kibera Towers. Jifunzeni marketing pia10yrs na bado muko nyuma sana.... kutujazia thread na tutower tuwili tu. ukiuliza mKenya yeyote akutatajie tower za dar atakuambia pspf na tpa. basi. jifundisheni marketting tafadhali
haunipangii cha kufanya... ntazidi kuwakera nyinyi taifa masikini wa kutupwa kwa kuwaonyesha picha na maendeleo mbali mbali yanayoendelea ndani ya +254 mpaka mujitie kitanzi.toka kabisa nje ya jf nenda nairaland ukatukanane na nigerians and ghanaians.
ila ukirudi jf kwa ID mpya usiache kutujuza.jf ndio home,jf ndio jabari la forum EA.haina mpinzani.
[emoji23] [emoji23]
depends on what it means by a tower to you. hizo ni 4storey unplanned buildings.Hivi hapa kuna towers ngapi.?? You may not finish countingView attachment 557246 View attachment 557248 View attachment 557250 View attachment 557246
punguza povu buda....hasira za nini?.punguza hasira.[emoji23]haunipangii cha kufanya... ntazidi kuwakera nyinyi taifa masikini wa kutupwa kwa kuwaonyesha picha na maendeleo mbali mbali yanayoendelea ndani ya +254 mpaka mujitie kitanzi.
mimi huwa situkani... hio negative energy nilikuwa natumia zamani kwa Big Brother Africa. saa hizi nimekuwa mtu mzima. badala ya kukutukana, especially wewe mtu wa ldc, naona heri nikucheke tu kwa dharau. lol! sorry bruh.
# it is what it is
am glad that you do recognize UAP Tower!!! please keep posting more of our Towers tooNairobi ni City ya Tower moja. UAP TowerView attachment 557258
lol. hasira za nini? nimekwambia mimi sina negative energy yoyote.punguza povu buda....hasira za nini?.punguza hasira.[emoji23]
karibu...[emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116]lol. hasira za nini? nimekwambia mimi sina negative energy yoyote.
my evening goes like this.
drinking at the same time listening to some rumba vibes from ferre gola,fally ipupa and koffi olomide.
dar es salaam kisiwa cha amani tele.thank you God.
post Serengeti beer msee. you see this is how you lose. hio castle hata mimi nishakunywa sana but ni ya mSouth Africa. mbona usi promote beer yenu?my evening goes like this.
drinking at the same time listening to some rumba vibes from ferre gola,fally ipupa and koffi olomide.
dar es salaam kisiwa cha amani tele.thank you God.