Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwa sababu ulidandia treni kwa mbele. casinos tulimwaga nyingi huku mukapoteleana
Nani alipotea haha simulikimbia munatuletea lodge alaf munasema casinoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ewanjala tuonyeshe Casino za Nairobi tupe na jina. Usibebe za SA
 
Tanzania of 2017 imewakosesha ndugu zetu raha kabisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nani alipotea haha simulikimbia munatuletea lodge alaf munasema casinoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
mulileta apa counter za bar bila equipments za casino tukawaonea huruma πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mulileta apa counter za bar bila equipments za casino tukawaonea huruma πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Umesahau mwenzio akaanza kutuletea bar and lodges akasema casino hii ndio 2017 πŸ˜›πŸ˜›
 
Inamaana tukiingia kwenye tundu la mavi nanyie pia munaingiaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
ndio kwa maana nimesema mukileta picha kuboesha uzi, mimi kwa upande wangu nitachukua some time off from this thread mpaka irudi sawa.
yaani jiji la 696sqkm linawatia joto mpaka mumeamua kuleta linchi lizima???? smh!
 
Hahah mulikua munataka kuona beauty of tanzania hahaha naona mumepata na homa
696 km sq yani inaingia mara tatu kwa dar hebu imagine ndio maana nikakwambia sio level yenu darπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Remb just 10 yrs my friend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…