you see for example such a soul arguing with a list that has all the countries worldwide.........its shocking to them that their poor tanganyika is a minnow in world stage........we tell you the truth but you deny and resort to insults as usualLabda ungefuatilia hizo takwimu zinahusu nini. Hio ni idadi ya magari mapya yaliyouzwa nchi hizo kwa mwaka husika. Tena hizo unit ni 350.000 sio laki tatu, na Kenya 1,300. sio milioni moja na laki tatu. Na kuna Japan hapo 77,000. sio 77m hio 2015.
Haina maana kuwa Tz idadi ya magari ni 350,000 na Kenya 1,300,000 kama unavyofikiria.
Itafaamika tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Excuse me!you see for example such a soul arguing with a list that has all the countries worldwide.........its shocking to them that their poor tanganyika is a minnow in world stage........we tell you the truth but you deny and resort to insults as usual
Nenda ukamuulize gavana wao km anafeli wapi basi wala usituingize sisi wengine huko..Yaani county nzima raia wake wanategemea hospitali za Tanzania.
Hahaha!!we mzee umetisha, yani jamaa hapo atanengua mpka yesu arudiyou see for example such a soul arguing with a list that has all the countries worldwide.........its shocking to them that their poor tanganyika is a minnow in world stage........we tell you the truth but you deny and resort to insults as usual
ila uskonde mzazi, eti magaful na tundu walikufia nbi hosp. kweli.??We are the best in Africa, any question?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hyo mbunge bwege sana[emoji1787][emoji1787]Haya sasa semeni tena.
Usisahau kupitia replies za kwenye hii tweet.
Ignored.Kwhyo ndani ya hicho untaka kusema tz imeingiza magari 350 hamsini tu, mbona huaga mnapenda kujitoa ufahamu kw kiwango cha ajabu hivi jamani
Hapa uligonga ndipo, but its an unfortunate position to be in for Tz.Ki ukweli on hard facts hakuna kitu mmeshindia Kenya........GDP....HDI....Middle class.......Purchasing Power.......Planning...?
You are just consoling yourselves but deep down you fear us to the bone.......lol.No wonder you will never allow free border interaction......your mwanza and arusha kraals will be in the hands of Kenyans
Km huwezi kumeza we tema tu[emoji1787][emoji1787]Ignored.
Here I applaud Tz.., keep on, mkimaliza usisahau kunitag., napenda maendeleo anywhere in Africa., lakini hapa ndakunyorosha tu for the sake ya debate. 😂 😂 😂
kinondoni iko better zaidiMombasa ni kinondoni tu
tupe new pic mzee wacha pang'ang'aYou are not even ashamed of yourself go look for old pictures and get the worst just to post nkt so that you proof what and deep down you know that's not the current situation sometimes I always wonder and pity you guys. . Do you really want to know the current situation or to post for the sake of it?
hii inajulikana usichanganye maji kwa oil,,,utakufa
kipi kilichowafanya muweke hiyo michuma chuma juu,mbona haileti maanaWivu mbaya jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo vipi, yani mpka kijiji kinakutia kiwewe, kweli mnatia huruma sio bureView attachment 2080764View attachment 2080765View attachment 2080766View attachment 2080767
JamiiForums mobile app
wataelewa tu
kuvaa mask haimaanishi kuwa kila mkenya akiyevaa kiatu cha 2021 kuwa kanunua kiatu kipya 2022,ila inaawekana kuna baadhi 2022 wamenunua viatu vipya na kuna wengi hawajanunua viatu vipya,Hazipo kwa wingi kama unavyodhania, alafu Kenya ni uchumi huru,(a free market economy) unaacha watu watengeneze hela wanavyotaka, bora wafuate sheria., utaratibu umeingia kwa wingi ukilinganisha na hapo nyuma, fika Nairobi sasa ujione mwenywewe, wachana na google.., ama tembelea google earth., kwanza kwa hizo picha angalia number plates.., kwa sasa mingi ni KDA onwards, latest ni KDG.., so ukiona KCs na KDs., na watu wamevaa mask utajua picha ni ya sasa..,
baba levo hakuwahi kutembea nnje ya bongo pia kauli aliyoongea ni anajitafutia attension ya market in kenyqJohannesburg city....
Nmesikitishwa sana na nauli ya baba levo,Hapa ndio tunahitaji 25years sio kwa hawa jamaa zetu wanaojenga expressway line mojaView attachment 2080967View attachment 2080968View attachment 2080969View attachment 2080970View attachment 2080971View attachment 2080972View attachment 2080973View attachment 2080974View attachment 2080975View attachment 2080976View attachment 2080977
😂😂😂 Kwani huyo no mbunge wawapi .? Na anawakilisha raia wa nchi gani.? 😂😂😂 Sio wakenya kweli.?Hyo mbunge bwege sana[emoji1787][emoji1787]
Sasa si ni shauri yao, km kakalia kiti miaka ishirini hajafanya kitu anatarajia gavana atende maajabu..
Watajipanga na mambo yao, turkana naona siku hizi nao wamegutuka manake waliangali ni kubaya..national government inajitoa pole pole katika masuala ya kiboya kiboya km hayo