Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama una ubavu leta gari celebrities wenu wanaendesha na Tanzania ilete wake, celebrities wenu tu kwanza 80% wanaishi kwenye slums
Kwanza celebrities wenu ndio wanaunga unga sana basi km hujui, ni kundi flani tu ndio wanatesa
 
Kenya ndio inaongoza kuwa na magari mengi ukanda huu licha ya kuwa expensive kumiliki
 
Mbona unawatetea wahujumu uchumi
Tanzani watu ni walalahoi bana
hvi kuna mafisadi wakubwa kama wanasiasa wakenya watu wanaiba mpaka wanajiibia na wao wenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Si umesema hapa gari zote foreign kenya si za wakenya , gari kenya ni very expensive but still tuna gari nyingi kuwashinda, gari ya maana kenya lazima ukue na tzs.20m kuendelea
Bila ya mita kuendelea huwezi pata gari ya maana, hapo umesema kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…