Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

👍
 

Attachments

  • VID-20220115-WA0032.mp4
    2.1 MB
  • VID-20220115-WA0029.mp4
    2.1 MB
Haya top 5 richest families in kenya all asians kasoro kenyantta ..@Teargas NairobiWalker

mmekuwa mkisema or dewji etc kwa Tanzania jiangalieni nyie hapoView attachment 2084467
Ukileta kifamilia tanzania basi si itakua moto faya, wengine mtachezea mkia manake wahindi watashika mpka wachoke...
Alafu mbona km unajidanganya, we richest families za kenya wazijua kweli
 
Wao tangu wapate uhuru wameshindwa kujenga nyumba ya rais, president of Kenya anaishi kwenye choo cha mkoloni miaka nenda rudi, inasikitisha sana.
Ujinga Gani Huu Sisi Kuna ikulu ya rais in every major county Na zote kubwa Ni huruma tu tukiona mnashangilia ikulu
 
Hakuna kitu unajua hapa, hio kibali ikiisha you can renew for another 2 weeks, 1 month ama 3 months KRA, form C32 na Comesa and your good to go, tuulize sisi tukona magari kenya na tz
Sijakuelewa, unachobisha ni kwamba hilo gari sio la mtanzania au ni kwamba hakuna gharama zozote za kulipa Kenya kama gari linatoka nchi nyingine?
 
siku hzi umekua engineer wewe😂😂😂😂
 
Sijakuelewa, unachobisha ni kwamba hilo gari sio la mtanzania au ni kwamba hakuna gharama zozote za kulipa Kenya kama gari linatoka nchi nyingine?
Kumiliki gari kutoka nje naona kw mtazamo wangu ni rahisi sana hta kuliko hapa kenya, manake watu wengi sana wanafanya huo mtindo na bado wanaendelea..

Jamaa ana gari plates za tz karibia zote wakati hko hata nyumba hana, acha tz mpka South Sudan..somalia na ethiopia ndio sijaona ila uganda nimeona wengi sana
 
Mzee punguza makasiriko, Tanzania deni letu ni dogo mno na tuna mengi yakayowachukua miaka 50 to 100 kuyafikia wakati ninyi debt ceiling mmeivuka na bado ni shithole country.
 
Niliambia hawa jamaa Kenya itatengeneza pesa nyingi sana kutoka Tanzania hawakuamini.
 
It has a funny how Tanzanians are always complaining in everything hehe... It's a typical example of a child who lives in a village his mother buys them the best stuff in the village and the mother tells him everyday he is the best in the whole world and the kids grows knowing so.... One day when the kid goes to the city with him a mentality of being the best he can't understand how the other kids are beating him so he believes they are being favored or something.... So he will forever keep defending everything even when he is beaten hands down... Mara GDP is a fallacy Mara world bank is a fake institution only Dar can say a country strength Mara the world media is against Tanzania we are the best... Mara the internet was bribed to write fake data about Tanzania hehe.... The things you here from this south guys you have to seat back and laugh sometimes
 
hawaamini kama gari ni lamtanzania 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kila siku nawaambia upole wa Watanzania wanauchukulia kama udhaifu, Watanzania wana pesa lakini wametulia, mkunya hawezi kuwa na laki 1 mfukoni usijue 😅😅😅😅 sasa akili zao hazitaki kukubaki kwamba mtu anaweza kuwa tajiri hivi yet hajioneshi.
 
Mkenya kaweza kununua gari ya million 600 kashindwa kulipa ushuru wa few pennies 😂😂😂😂😂

Mkunya ni taahira by nature, ni masikini lakini watajaribu kila njia kukana umasikini wao 😂😂😂
kenya mawaziri wao wote wanatumia prado 150 wakat huku kwetu wabunge tu wanatumia v8 200 series wakuu wa mikoa wanatumia v8 200 series pamoja na wakurugenzi wa jiji wanatumia V8
 
kwani haoni kwa waarbu hvi kuna watu wenye pesa hii kama dunia kama waarabu lakini ushawah sikia wanajitangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…