Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What specialized services inatoa hiyo AIC Kapsowar Hospital ? Na mbona Moi asilazwe hapo akafia Nairobi Hospital?
 
Tanzania itafikia GDP ya $100b mwaka 2026 kipindi icho Kenya itakuwa na $153B ,vp ilo gape halizibiki Au[emoji16][emoji16]
Wewe ni kiazi,saizi tumewekeza kwenye infrastructure kwa hiyo Kasi ya ongezeko la uchumi lotakuwa kubwa zaidi kuliko ilivyo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…