chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
Nairobi inapigwa na Dodoma sababu Dom ina estates nyingi za maana lakini Nairobi ina slums nyingi kuliko estates za maana kitu ambacho Dodoma hainaMtu akusaidie na maziwa hii bangi ni mingi
No pedestrian bridges. All adjoining roads ni vumbi tupu. Yani unaona kichochoro cha vumbi Kando ya barabara kinaitwa service lane.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji706] Waste of taxpayers money. Yani highway imejaa level crossings, lanes hazina upana na barabara imejaa vilima na sharp turns so itakua na jam always. Ata ikue 20 lanes kila upande with level crossings ni bure tu maana itabidi magari yanangoja kuingia highway au watu kuvuka badala ikue express.
Hizo ni nini mzee kwa maoni yako.?Njooni muone service lanes.🤣🤣
Wacha utani13k was back in 2010s
Huyo hata maziwa haiwezi msaidia. Labda brain transplant.🤣🤣Mtu akusaidie na maziwa hii bangi ni mingi
OkeyI mean highrise buildings in general, say 20flrs and over
Barabara ata haijafanyiwa cutting and filling ili iwe level. Its pure hogwash. Barabara haina footbridges iko na zebra crossing kando ya brt hadi unashangaa mdanganyika anavuka 8 lanes ya barabara namna gani. Haiko express.Why would anyone even compare this to Thika road? Hii labda ulinganishe na Ngong road and Ngong road looks better because it passes through well organised areas with adjoining tarmaced roads.
Hapa Kenya hicho huwa tunaita Kichorochoro. 🤣🤣Hizo ni nini mzee kwa maoni yako.?
Dodoma imekupa kizungumkutiHuyo hata maziwa haiwezi msaidia. Labda brain transplant.🤣🤣
Unaizingumzia vitu unavyoishia kuviona kwa picha tu mzee 😂😂 so sad.. kwamba hakuna pedestrian bridges 😂😂😂 umewahi kufika.?No pedestrian bridges. All adjoining roads ni vumbi tupu. Yani unaona kichochoro cha vumbi Kando ya barabara kinaitwa service lane.
🤣🤣🤣 Leo nimecheka yangu yote.Barabara ata haijafanyiwa cutting and filling ili iwe level. Its pure hogwash. Barabara haina footbridges iko na zebra crossing kando ya brt hadi unashangaa mdanganyika anavuka 8 lanes ya barabara namna gani. Haiko express.
Ooh kumbe upo ili kujifariji.? sawa unaruhusiwaHapa Kenya hicho huwa tunaita Kochorochoro. 🤣🤣
Hizi roundabout ni useless. Hazina umaana. Hapo wangeeka junction tu ya kawaida. Alafu kue na flyover hapa sababu nishaanza kuona jam na ajali zikitokea apa kwa hii junction mbovu. SAFETY! SAFETY!Don YF Mashashola MK254 Teargas KENPAULITE KANAIRO Chill mwathadan njooni muone service lane.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2079291
Amezihesabu aje?🤣Hahaa!!kuna mmoja kasema hzo ni two lanes[emoji1787][emoji1787]
JamiiForums mobile app
36/50
lol,,,,,,stop running to dodoma village,,,,,lets deal with darislum first......dodoma hata airport haina haiwezani na isioloNairobi inapigwa na Dodoma sababu Dom ina estates nyingi za maana lakini Nairobi ina slums nyingi kuliko estates za maana kitu ambacho Dodoma haina
Nafikiri umejionea pia namna Watanzania walivyowapita kimaisha, mitaa ni ya watu wa kawaida lakini kuna nyumba nzuri ambazo ni chini ya 10% ya Wakenya wanaweza kumiliki
Na vichorochoro huku havipatikani karibu highway. Utavipata kule kule ndani kwa mitaa mipya ambayo imejengwa majuzijuzi. Hapo Dar bado mna kazi aisee.🤣Ooh kumbe upo ili kujifariji.? sawa unaruhusiwa
hizo ni world class mansions tanzania style......🤣🤣🤣🤣 uswazi hovel master ensuitesHizi roundabout ni useless. Hazina umaana. Hapo wangeeka junction tu ya kawaida. Alafu kue na flyover hapa sababu nishaanza kuona jam na ajali zikitokea apa kwa hii junction mbovu. SAFETY! SAFETY!
Alafu ati hii ni 19km from Dar na kunakaa Marsabit kukauka na kitongoji duni [emoji23][emoji23][emoji706]
And this is the major highway going to Dar-is-a-slum [emoji23][emoji706].Why would anyone even compare this to Thika road? Hii labda ulinganishe na Ngong road and Ngong road looks better because it passes through well organised areas with adjoining tarmaced roads.
Hivi umeandika nini?ebu Sona tena ulichoamdika bro.Danganyika is a shithole country. Magufuli alikua ameminya freedom of speech hadi nje watu wanadhani Tanzania ni paradise kumbe uhalisia haukuwa unatangazwa na wanahabari ndio maana hakuna kitu kibaya kilikua kinatangazwa kutoka Tanzania.
Mama suluhu anaonekana amelegeza kamba kidogo maneno ya freedom of speech so kueni tayari kuona maajabu kutoka Tanzania. Tanzania kwa ukweli is an extremely poor country kuliko kenya with no proper education. Wasichana wanaolewa wakiwa shule za primary na polisi hawana uniform. View attachment 2079298