Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani BRT sio lanes? BRT ni the most modern international standard mzee, Huwezi kulinganisha na barabara ya aina yoyote labda highway yenye tram in between ndio zinaweza kubattle na highway yenye BRT
Nimekuambie fikieni level ya Dongo Kundu kwanza.
 
Muache matusi
 
Dongo Kundu ni ancient standard of road (basic road) haina chochote cha tofauti na highway nyingine za kawaida.
Hasira mbaya jamani[emoji1787][emoji1787]
Dongo kundu quality yake achana nayo, emu si uje utalii kwanza..
Usisahau kuja na ndiga lenye uwezo wa kufika 200km/h u-enjoy mtelezo wa kijapan wewe...

JamiiForums mobile app
 
Baada ya miaka ngapi hivi dogo? mtakua hai kweli? kwa hii ugoi goi wenu, mwendo wa konokono [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ugoi goi alafu tuna export zaidi kwenu kuliko nyie mnavyo export kwetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naangalia muandiko wako vzr, nishaanza kukujua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
And congratulations on having a son of Kenya as your profile picture 😉😉
 
Bado sijaona hicho unachodai aliona baba level na kilichomo kwenye picha [emoji23][emoji23][emoji23] kwenye Hii vid ulijaribu kuonyesha nini.?
Njoo na wewe utalii, hata km utaamua kukaa kimya pia poa..lkn baba levo kaona haitoshi jamaa kaamua kwenda mpka kwenye kituo cha habari na kuzua mjadala..

Alafu mlivyowajinga kwenye ile clip kuna mmoja anamuuliza baba levo eti nairobi nako kuna daraja km lile la kigamboni, yani nilicheka san..zero brain tz wametapakaa

JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…