Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha, makubaliano na mikataba yote ilifikiwa kipindi cha Kikwete, ila kwa sababu Magufuli aliwanyorosha kisawasawa ndio sababu hamuwezi kuacha kumtaja kwa kila Jambo baya ili kujiliwaza kwa maumivu aliyowaachia[emoji23][emoji23]
 
Hahahaha, makubaliano na mikataba yote ilifikiwa kipindi cha Kikwete, ila kwa sababu Magufuli aliwanyorosha kisawasawa ndio sababu hamuwezi kuacha kumtaja kwa kila Jambo baya ili kujiliwaza kwa maumivu aliyowaachia[emoji23][emoji23]
Makubaliano yalifikiwa wakati wa Kikwete ila aliyeyasimamisha ni Magufuli. Isitoshe kulikuwa na makubaliano ya ziada ambayo yalitakiwa yafikiwe ila Magu kwa kawaida yake akaleta mtafaruku kwenye majadiliano hayo akisema kwamba investors wanataka kuwakandamiza Watanzania. Matokeo yake ni kwamba mumekosa kutumia rasilimali yenu huku jirani yenu akijitayarisha kuanza kuzalisha gesi by June this year.
 
Yaeh, waziri ambaye aliwaanga ati SGR itaanza kufanya kazi 2019. Waziri amabaye aliwadanganya ati Tanzania imeorder train from Germany na zitafika November 2o21?πŸ˜‚πŸ˜‚
kusema kasema lakini kuna dharura zinatokea kama mvua pamoja na covid ziliathiri sasa ww unashangaa kitu gani??

na bahat nzuri
phase one iko 97%
phase two iko 79%
phase five iko 8%
phase three iko 1%

ww unafkiria nn hapo ??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
na bila kusahau hii ndio modern electric train in africa note that
 
Kwani Tanzania kulikuwa na covid?🀣🀣🀣
Alafu hiyo mvua kwani inanyesha tu Tanzania pekee?
 
Wa Wakenya msiwe na haraka mtanyea suruari kama vle mchina alivyowapiga,cc ndio wala nyama kweye sgr,nlg
 
Kwani Tanzania kulikuwa na covid?🀣🀣🀣
Alafu hiyo mvua kwani inanyesha tu Tanzania pekee?
sio tanzania dunia ndio ilikua na covid unategemea vifaa vya ujenzi vinatoka wapi kama reli na other equipments??? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nado hmna train, mko level ya Burundi and Uganda. Hata hujui trains zenu zitafanana ajeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kipindi cha Magufuli hapakua na mazungumzo Wala makubaliano mapya yaliyofikiwa zaidi ya Magufuli kuweka Saini kuruhusu ardhi yenye ukubwa wa zaidi ya ekari Elfu 3 kuwa itumike kwa ajili ya ujenzi wa hicho kiwanda, zaidi ya kuhimiza kwamba mchakato wa kukamilika ujenzi ufanyike haraka Kama alivyokua akisisitiza ujenzi wa Bomba la mafuta toka Uganda, hajawahi kuzungumza lolote Wala kufanya lolote kuhusu hicho kiwanda, ukweli ni kwamba Kenya mlikua mkimuogopa Sana ndio sababu lazima mzungumze vibaya kuhusu yeye.
 
Wa
Wakenya msiwe na haraka mtanyea suruari kama vle mchina alivyowapiga,cc ndio wala nyama kweye sgr,nlg
yani hii reli inawauma bro ww acha kabisa yani wanaumia kisawasawa na wanaomba dua usiku na mchana isianze kazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nado hmna train, mko level ya Burundi and Uganda. Hata hujui trains zenu zitafanana ajeπŸ˜‚πŸ˜‚
ukhkhekhe nilitegemea povu hili ni kawaida kwako 🀣🀣🀣🀣
 
So equipment na reli zlishikwa na covid?🀣🀣🀣
kwani makampuni duniani hayakufungwa au hujui hata kwann diesel na petrol kwann zilishuka bei vibaya sana??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…