Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe bwana IQ yako ni ndogo some time unatuhaibisha sana kwenye huu uzi ,sasa hapo umeonge nini? Mwenyewe tayari kasema kuwa hiyo picha ni tz [emoji849][emoji849]
yes yes!!.. i knew i was right. this is not Tz but an ANC rally in kwazuluNatal province SA
 
wewe ndio ngenderek kabisa.. hii flag ya ANC⁸
 

Mkalenjini huyo 😂😂 kashajianika
 
Mtu asiyejua kuandikia anajadili kuhusu IQ! [emoji23][emoji23][emoji23]

Wonders shall never end.
Kwani ujui mimi naandika kiswaili wewe unaandika kiswahili ungewauliza wazoefu jf wange kuambia ,ulipo sema mm natoa comment za ovyo nikaona nikufuatilie za kwako ...nikacheka sana [emoji1787][emoji1787]yani comment zako hapa jf nimefuatilia nimeona hata like ukipata ni bahati tu ,tena like ni moja tu[emoji1787][emoji1787]
 
Mtu asiyejua kuandikia anajadili kuhusu IQ! [emoji23][emoji23][emoji23]

Wonders shall never end.
Sasa wewe unajua historia ya maisha yangu kwenye swala la lugha usithubutu, unipati mm najua lugha 6 na lugha ya kiswahili siyo niliyo somea elimu yangu ndiyo maana unaniona kama sijui kuandika ila ninajua kuandika nikitaka kuandika vizuri naweza ,....mbona wanafunzi ukichati nao utakimbia namna wanavyo andika kiswahili chao au ujawai kuchati na wanafunzi au kuona chati za magrupu yao ? Au unadhani ni lazima uandike kama upo kwenye chumba cha mtihani , sasa acha nikuonyeshe lugha ninazo zijua
1)English wastani
2)Kiswahili
3)Kirusi
4)kikorea wastani
5)kinyarwanda wastani
6) kihaya ...nakijua kidogo kama 40%kihaya na kinysrwanda nakijua wastani kwa sababu nilifanya kazi bukoba na rwanda mm siyo mtu wa huko
Lugha niliyo somea shule ya mwingi na sec ni KIRUSI
Kama utaona nakudanganya nijaribu kwa hizo lugha yoyote
Урок русского языка
 
The Sunk Cost Fallacy njoo beba mtu wako. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
yes yes!!.. i knew i was right. this is not Tz but an ANC rally in kwazuluNatal province SA
Ya chini ni ccm tz, kwa kuwa uliweka mbili na kusema kampeni za kenya ni kama za tz hivyo nikajua picha za kulinganisha nchi mbili
 
Sasa unabisha 95% ya unga mnaotumia hautengenezwi na mzungu na muarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…