Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huezipingana na ukweli. Hizo figures zako unaezabaki nazo.😂😂👇👇

The expansion will involve the construction of four lanes from Uyole to Mbalizi. Earlier, Mbeya Regional Commissioner Amos Makalla directed experts from all the district councils to stop red-tapes in releasing development project funds disbursed by the government.
 
Tz imejaa wakulima madhara yake si ndio tunayaona, nchi inaenda iki mark-time walalahoi kibao..
Mtu akipanda mihogo na mboga anaona basi keshamaliza kila kitu katika maisha yake

JamiiForums mobile app
 
Wewe una matatizo,unaleta habari ya 2018 mimi nakupa ya 2022 ,una matatizo au?
 
Your proficiency is undoubted,back to the point,Tell me the demerit of not being colonized as far as Tz is concerned....as far as i can remember Tz was once colonised by Germany and later British before fully independence 1961...it looks like you've no idea what Tz went through before it becomes a United republic. And reminds me how far is Kenya from where Tz is?
Life expectancy of tanzanians is 66yrs ke 67yrs that can tell everything
 
Hile uongo wenu wa sijui sisi hatukopi imekuwa exposed[emoji1787][emoji1787][emoji1787], yani mwaka moja mmekopa $5B? Na hiyo bado hatujaongelea zile grants and donations[emoji23][emoji23]
Nyie mmeshagusa ceiling karibu mtoboe paa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…