Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Akili yako iko sawa kweli? Umesema SADC pekee mnafanya nao biashara almost $1 trillion?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Do you know what $1trilion is? Ama unaongea tu hili ujifurahishe?
 
Akili yako iko sawa kweli? Umesema SADC pekee mnafanya nao biashara almost $1 trillion?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Do you know what $1trilion is? Ama unaongea tu hili ujifurahishe?
Duh sorry sio T bhana ni B ..
 
wanatumia nguvu nyingi sana na gdp ya 50 billion.....nkt
 
South Africa wana maisha mazuri kwa sababu ni wachache na wana Gdp kubwa manaake wana high Gni per capita. Nigeria wana maisha magumu kwa sababu wako wengi kwa hivyo wengi wao hawapati kukula matunda ya nchi lakini sio kwamba Nigeria haina miundo mbinu. Ungetazama hio video ungeona miundombinu wanazo na wanaendelea kujenga zaidi ila haifaidi kila Mnigeria, wengi wao bado hawapati faida ya miundo msingi hizi.
 
Ona sasa, I once told you sometimes you should keep silent hausikii! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…