Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uhuru aliulizwa anataka nn kama zawadi akasema unga wa mahindi watu wake wana njaa!
 
asante kwa kujaza vitu renders asante sana 😂😂😂😂😂😂😂
 
Endeleeni kusubiria,aliyetucheleweshana ni yule zalimu mwendazake,miaka yake yote uchumi ulianguka but now si unaona tumeanza kurudi kwenye viwango vyetu na mumeanza kulia Lia.

So far tumeshaondoa trade deficit,tumepagika kwenye utalii ,tumewapiga kwenye FDI na tunakuja kwa speed kubwa kwenye sekta zingine.
Hahaha tumesubiri mpaka tumechoka. Sio mara ya kwanza nyinyi kutuambia tusubiri kwamba mtatupita.
 
Huu upumbavu wenu ndio sababu kubwa ya nchi yenu kuwa haina uwezo wa kulipa mishahara ya watumishi wake, kushindwa kumalizia reli iliyoachwa porini na Mchina, kuendelea kufa kwa njaa baada ya kushindwa kumalizia ujenzi wa Galana kulalu project.

Hivi kweli wewe unaweza kushindana na Chris Kirubi katika kukopa, hivi kwanini IMF imeweka kikomo kwa nchi masikini kuchukua mikopo isizidi 55% ya GDP Yao lakini nchi tajiri wakaziacha bila kuweka kikomo au kikomo Chao kipo juu sana?.

Sasa wewe kwa upuuzi wako nenda KCB ukaombe mkopo na utumie kigezo cha kwamba kwanini Chris Kirubi anaendelea kukopesheka wakati bado deni lake la nyuma hajalipa.
 
Nyinyi hata render hamna. Nci ni maskini to the point that hata pesa ya kutengeneza nazo renders ni shida.
renders za nn wakat tunataka vitu halisi 😂😂😂😂😂 sisi hatutaki ubabaishaji tunataka vitu real
 
Hizi ngoma style ya kikuyu kabisa. hizi ni moja ya propaganda inayofanya waTZ wawachukie
Teargas hebu njoo hapa uskie hii, eti kilaza flani hapa anadai eti hawa ni wakikuyu ama wakenya.. hehe.. nimecheka yangu yote😆..


si uwaga mnatuchukiaga, ni ninyi ndo mlileta hii rivalry mwanzo, eti sababu tumewazidi kwa kila jambo. nairobi or kenya in general is more international, more popular, more famous, more prominent than you pipo. alot of pple out there, don't even know of a city known as Dar-Es-Saalam or anythng bout tanzania..
 
renders za nn wakat tunataka vitu halisi 😂😂😂😂😂 sisi hatutaki ubabaishaji tunataka vitu real
Kwa list nimeweka ebu taja renders ni gani. All the projects in that list are under construction.
 
Hahahaha, unajisikiaje Kama mtu anakutembelea nyumbani kwako na kukupa zawadi ya unga wa mahindi, unahisi amehisi wewe shida yako kubwa ni nini Kama sio njaa?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kilaza katika ubira wake[emoji1787][emoji1787]
Hata in developed countries hvyo vitu vipo sana, especially marekani..watu wanatembeleana hku wamebeba vyakula

JamiiForums mobile app
 
Kwa list nimeweka ebu taja renders ni gani. All the projects in that list all under construction.
renders za nn sisi tunataka real buildings sio renders kwa sasa 🤣🤣🤣 hazisaidii kua na magorofa kwenye makaratasi
 
Mbona deni za Kenya zinawasha watanania kuliko wakenya? Ama ni nyinyi ndio mtazilipa?
Kwasababu wakenya ni mazezeta, Kenyatta family inawaibia kila siku lakini hamna uwezo hata wa kuanzisha uchunguzi.
 
ikiwa vijiji tanzani zaidi ya 86% vina umeme na tanzania ni kubwa kuliko kenya mara mbili just imahine 🤣🤣🤣🤣
Pole sana, the world bado wanatambua kuwa Tanzania only has 37% connectivity rate🤣🤣🤣

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…