Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona me naona ndege mbovu na vidogo vidogo vya watalii au we unaona kuna ndege hapo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii airport inakutesa mbona? 😂 😂 😂 😂 ..,utanyooka tu, mambo kama haya haujazoea kuyaona., ni 2022.., vumilia kaka hapa ni Nairobi na si JKIA, hii airport serves domestic and international traffic 😂 😂 😂 .., one of the busiest Airport in Africa., najua haukua unajua hilo.,

wacha nikupunguzie maumivi na wivu..,

Hangars at Wilson Airport..,


WILSON., 🔥 🔥 🔥





 
Mkuu subiri kwanza ule wali mkavu ndio uje kumsifia mama
 
Hii ni tembo mweupe maana Uganda will be ur main source of both crude n refined oil n also to the region!
It is to serve Kenya mostly; our energy needs, Uganda is a by the way, itapunguza bei ya mafuta, if you know the meaning of that. Ile pipeline ya Uganda mlianza kutengeneza ama bado mnatafuta hela?
 
Jamaa kw akili zake busiest ni ndege za kutoka marekani na ulaya
 
27k inafaa vijijini uko sio kila mahali
 
Takataka inakopa til 1.3 kwa mwezi mmoja for nothing ,hapo ukikokotoa kwa miezi 12 = til 15 zidisha kwa miaka 5 = Til75 hizi ni akili au mafiii
Hesabu zako zakijinga sijapata kuona...unafikiri inawezekana kukopa kila mwezi trillions 1.3 ?unawaza kama kuku
 
Kwanini asiweke hata sh150000 ,mama hakuna kitu kwa kasi ya kukopa anayo kwendanayo til1.3kwa mwezi ×5years= til75
 
Tundege tudogo tudogo kama nzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…