chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,739
- 46,078
Haujui chochote kuhusu huu mradi ni bora unyamaze tu.Hehehe, naona mmeanza kutumia neno metropolitan. Tukiwaambia what Nairobi metropolitan is mlikuwa mnajifanya hamuelewi kumbe ni wivu tu. Huwa mmekazana sana eti Nairobi ni 696 sq.km while Dar ni 1500 sq.km
Kaa mkao wa kuwehukaHehehe, naona mmeanza kutumia neno metropolitan. Tukiwaambia what Nairobi metropolitan is mlikuwa mnajifanya hamuelewi kumbe ni wivu tu. Huwa mmekazana sana eti Nairobi ni 696 sq.km while Dar ni 1500 sq.km
Hivi unajua watu wameshaanza kulipwa fidia kwa huu mradi.?Litajengwa
1. Daraja kubwa sana
2. Biggest city park in Sub-Saharan Africa
3. Housings capable of taking more than 10000 residents
4. New river banks and basins
5. Multiple playing grounds
6....
7....
...
Yeah zaidi ya half a million people need to move lakini wengine watapewa nyumba zitazojengwa kwenye huu mradiHivi unajua watu wameshaanza kulipwa fidia kwa huu mradi.?
Tukimaliza huu mradi jirani ataufyata mkia wakeYeah zaidi ya half a million people need to move lakini wengine watapewa nyumba zitazojengwa kwenye huu mradi
View attachment 2069533
Makenya hayapendi kusikia hizi habari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii kitu inaitwa ambush attack 🤣🤣🤣🤣Tukimaliza huu mradi jirani ataufyata mkia wake
Na watajiua mbona, huu mradi ukiisha 😂😂😂 ni majonzi kwa jiraniMakenya hayapendi kusikia hizi habari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Makenya hayapendi kusikia hizi habari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati wakiwa wanapigwa na Dodoma wakigeuka wanakutana na eneo la kitalii la msimbazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na watajiua mbona, huu mradi ukiisha [emoji23][emoji23][emoji23] ni majonzi kwa jirani
BOT huilipa serikali dividends!Sikuwa na jua kama BOT wanalipa dividendsView attachment 2068979
Hiyo ni takataka mm hadi sina cha kujivunia kwenye huu uziTsh 27,000/= is no more
Gharama kuunganishwa kupanda [emoji849]
Hehehe, naona mmeanza kutumia neno metropolitan. Tukiwaambia what Nairobi metropolitan is mlikuwa mnajifanya hamuelewi kumbe ni wivu tu. Huwa mmekazana sana eti Nairobi ni 696 sq.km while Dar ni 1500 sq.km
Hii bro itawaumiza sana mioyo yao,mana ukiichukua Upanga, Posta, Kk, ilala together with new Msimbazi dvt area Dar itakua mji wa kipekee kabisa EA, tunazungumzia miji zenye muonekano wa kidunia kabisa
tuki,tuta,tuna .....lol.sasa hii project ndogo ndio big deal yawa
hii project ndio itafanya dar kuwa ya kimataifa...a park and half a dozen storeys....🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii bro itawaumiza sana mioyo yao,mana ukiichukua Upanga, Posta, Kk, ilala together with new Msimbazi dvt area Dar itakua mji wa kipekee kabisa EA, tunazungumzia miji zenye muonekano wa kidunia kabisa
Wewe unatembea na akili zakinafiki mbona ukusema siku za nyuma kuwa ni uongo?27,000 itasalia Vijijini yaani umeme wa REA,Rais alichokikataa ni uongo wa kusema Umeme Nchi nzima utaunganishwa kwa 27,000 huu ulikuwa uongo wa Karne usitake kuleta upotoshaji.
Rais wa Sasa sio mwongo mwongo kama yule,ndio maana hata juzi Ali admit kupanda Kwa bei ya vitu na sababu kaweka.
Mwisho hamia Turkey mkuu maisha ni simple sana
View attachment 2068703
Project ndogo inayo cost karibu $1b, we una wazimu?tuki,tuta,tuna .....lol.sasa hii project ndogo ndio big deal yawa