Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

South African Airlines haitaki kuingiza nuksi kwenye biashara yake ya airlines, haiwezekani shirika lina zaidi ya miaka 35 lakini linamiliki ndege 2 chakavu 🀣🀣🀣🀣

SA wameona mbali

Huyu mkunya kachanganyikiwa na jiji la Dar ila anaona jau kuadmit

Real discussion is here..Quote''Kuifikia level ya Nairobi Kwa Bongo,Dar Es Salaam,tunahitaji miaka 25"
 
Yes,This Dar Fur is better than your called city..Uzuri Kelele zenu mnapiga tu hapa hazina effect..World bank Ndio dawa yenu..Takwimu zikitolewa...Munatapatapa...I like the way world bank huwapiga spanner hadi mnatii...

Nairobi best city in Africa, 12th globally​


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…