Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatari sana mzee, nmekuja kugundua Chicago haiiwezi Chengdu hata robo. I love US and Chicago but ukweli mchungu.
Nimefuatilia huu mjadala pole pole, na nikafanya utafiti, yaani mapicha ya Chengdu angles tofauti inakufanya useme eti Chicago haiwezi Chengdu hata kwa robo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., Chengdu bado sana, those tall apartments kwa wingi na muonekano angles tofauti visikudanganye.., naweza nikakuekea hapa Qatar ama Dubai angles zote with modern architecture utasema New York haiwezi.., just afalse perception created by angles namodern looking buildings., kama vile mnafanya Dar ilhali CBD ni sehemu moja tu na ndogo.. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Chicago still wins over Chengdu by far, both in class and economy.., even standards of living..,
Tazama, kisha compare..,











 
Chicago city.., Chengdu level yake ni akina Qatar, Dubai na cities in Vietnam..., inakuja lakini bado sana kwa Chicago on average., Chicago has first world standards in all fronts ata muonekano.., Chengdu is merely a modern metropolis, with big population, na lower standards in comparison to Chicago









 
Kama mwaafrika, maendeleo ya China, haswa Chengdu inanipa matumaini, kuna documentary I watched about China and what US billionaires think, niliona some of Chinese cities 30 years ago na sasa, they have grown in a shortest time, ila bado standards za watu hazijafika levels za Europe ama USA., muonekano isikudanganye.., but wanakuja vizuri sana, I like China so much, wameonyesha any country can look within and succeed.., China wali attract investors from Europe and USA kwa wingi sana due to low wage bill, yaani cheap labour., kama vile Ethiopia wanafanya, Chinese wana set up EPZ kadhaa kule..,
 
Wacha nilinganishe kwa karibu..,
Chengdu city..., CBD mixed with residential apartments..,

Chicago City.., purely business centre with first world class look..,

Cheng Du

Chicago
 
Wamarekani wakifika hizo level, wachina watakua na miji yao mikubwa tu uko Mars.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kasi ya maendeleo ya China sio ya kupimia kabisa..
Kwa ujumla China iko na cities kubwa kibao zilizo endelea kuliko za USA or any in this world, kwa mtazamo wangu, China inashinda USA kwa infrastructure development, na ukubwa ya miji zao, power of population, pia ikija fast trains hawana mpinzani.., ila USA remains the biggest economy in the world with sophisticated and most powerful defence, higher economic output and better living standards than China, ila China is my hero. Napenda miji zao..., very ultra modern.,
 
unawazimu nenda ukapime mkojo 🀣🀣
 
Can't be compared to Chicago still.., those few buildings na road infrastructure zinakupa kiwewe tu.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., I like their development though.., angles tofauti za cheng du hazinisumbui.., ila on average, wao wako na better cities kuliko USA., but kwa Chicago., Cheng Du is below it, wewe unaangalia tu urembo wa Cheng Du kisha una conclude., "mwanamke sio sura".
 
Tsh 11.11Trillions makusanyo ya miez sita July-dec 2021....wadau mnaionaje iyo speed?ni kama $4.81B hivi
Maza kajitahidi mwanzo nilikua na waswas nae kwamba spidii itapungua katika makusanyo ya kodi ila naona anajitutumua
 
Akili za battle ya Nai vs Dar toa hapa., now engage reason and intelligence, do proper comparison analysis, wacha kukurupuka tu na vipicha vya kupendeza, with apartments kibao, tena ndefu., yaani hizo ndio makazi za watu wengi pale, kwa ajili ya population nyumba zinajengwa kuelekea hewani, thus dense, so inakupa illussion unadhani Cheng Du can level with Chicago.., haiwezi bamzee., kuna many factors to consider.., kwani wewe uko vipi? sio kila mahali unatumia akili ya mapicha na mtazamo., shirikisha na ubongo pia.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…