Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ingekua vyema ungeanza kuifatilia hii discussion tangu mwanzoni ilivyoanza, nimeeleza kila kitu kila eneo.. au ni kawaida yenu wakenya kujisahaulisha ili upate pakutokea.?
 
😂😂😂 China iko na paris pia 👇 .
 
hii sasa ndio inaitwa ukweli wa mambo. US is a highly developed world. HDI 9.5 (very very high). China despite everything is still a developing world HDI 6.5 (Medium). seem tanganyikans are obceseed with skylines only!
 
Now give me the GDP per capita of SA vs Nigeria. Give us the GDP per capita of Mauritius vs Tanzania.
Per Capita of Water is bigger than USA, per Capita income ya Mauritius is bigger than South Africa and Egypt, how can you explain this?.

Per capital income ya China ni ndogo kuliko nchi zote za Ulaya, lakini China is second super power next to USA. Jielimishe vizuri matumizi ya GDP na per Capita income, usichanganye.
 
Mtu anakwambia kwa ground gdp hai reflect ilhali hajatafiti ipasavyo....ukiambiwa sehemu fulani kumeendelea zaidi tulia tafiti unaweza kubisha tu kusumbua watu
Sasa Kama nchi inashindwa kumaliza kipande cha reli baada ya mdhamini kukutoa ghafla, au nchi inashindwa kulipa mishahara ya watumishi wake kwa wakati, au nchi inashindwa kumalizia miradi muhimu ya kitaifa Kama Galana kulalu ili kuongeza uzalishaji wa chakula matokeo yake watu wanakufa kwa njaa, unahitaji utafiti gani kujua kwamba hiyo GDP ni kwa ajili ya kupiga selfie "nothing else?"
 
Do you even understand what you're talking about? I asked you what's the GDP per capita of SA vs Nigeria. Simple question.

Per capita of water. SMH🚮🚮
 
hii sasa ndio inaitwa ukweli wa mambo. US is a highly developed world. HDI 9.5 (very very high). China despite everything is still a developing world HDI 6.5 (Medium). seem tanganyikans are obceseed with skylines only!
They got skyscrapers recently. They're still excited.
 
Do you even understand what you're talking about? I asked you what's the GDP per capita of SA vs Nigeria. Simple question.
Hahahaha, wewe hujui lolote Kati ya matumizi ya GDP na GDP per Capita, kinachoifanya nchi kuitwa ni Super power ni GDP sio GDP per Capita, China has very low GDP per Capita than any other European country, but it's GDP is the biggest next to USA, that's why we are comparing China and USA.

Qatar has the biggest GDP per Capita in entire World but is nor were in the list of rich countries just because it's GDP is small.
 
Hapa ulituongopea sana mzee, US ako na 4.3m+ roads km while China iko na 4.9m+ roads km .. tukija kwenye high speed railways China ako na 139,000 km 2019 report says while US has 0 km .. alafu mimi sioni sababu ya kutaja taifa zima mana US itaishia kupata aibu tu .. tuzungumzie hii miji miwili tu kwenye eneo lolote we unahisi Chicago anaizidi Chengdu nitakuletea majibu tofauti.. nilijaribu kuifuatilia hii miji kwa undani kidogo na ndio maana sikuchagua kulinganisha Chicago na top five cities of China, nikaona angalau nikiishindanisha na Chengdu, italeta maana kidogo
 
Arguing with you is a waste of time. I'd rather debate a fly.🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…