joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hahahaha, japo sina Elimu kubwa kukuzidi lakini sidhani Kama upo sahihi, wafanyakazi serikalini hawazidi laki Moja Tanzania, hata wakiongezewa kila mmoja Tshs 300000 kwa mwezi, hiyo inakua ni 3B kwa mwezi, kweli unataka kusema TSH 3B kwa mwezi ikiingizwa katika mzunguko wa uchumi wa Tanzania kwa mwezi inaweza kutumbisha uchumi wa Tanzania kiasi cha kusababishwa mfumuko wa Bei?[emoji23][emoji23][emoji23],Tumia akili kuongeza mishahara hakuna tofauti na kuchapa pesa mpya kwa ajili ya kuongeza mishahara kuna mahesabu makubwa hapo kinyume chake wafanyakazi mnadanganya kuwa mmeongezwa mishahara kumbe mmepunguziwa mishahara mfano mshahara ni sh1000 na kilo ya mchele sh1000 kisha ukaongezewa mshahara sh1200 na kilo ya mchele ukapandishiwa kutoka sh1000 hadi sh1700 sasa hapo umepata faida gani kwa kupandishiwa mshahara ? Kwa kuwa kiwango ulicho pandishiwa ni chini ya kilichopanda kwenye gharama ya maisha ,kwa kifupi hapo utakuwa umeshushiwa mshahara ila kwa kuwa wafanyakazi wa serikali ni MAZUZU WENGIWAO WATASHANGILIA
Tunalinganisha maendeleo sio theories, hivi ninyi mpo na shida gani?. Mzee wa kimasai mwenye kundi la Ng'ombe 8000 anayeishi porini katika vibanda vya nyasi bila maji wa umeme, na mfanyakazi anayelupwa $1000 kwa mwezi anayemiliki usafiri wake, amejenga Nyumba yake ndogo yenye huduma zote Kama maji, umeme, choo na watoto wake anawapeleka shule kwa usafiri wake, nani mwenye maendeleo?Why would anyone compare Chengdu to Chicago?[emoji706][emoji706]
Chicago has the 9th highest city GDP in the world and all the cities ahead have way more population.
Tunapima maendeleo sio utajiri wa maneno, Sasa Nigeria na South Africa ipi imeendelea?, Nigeria na GDP kubwa, South Africa na GDP ndogo. Kenya na GDP kubwa na Mauritius na GDP ndogo?[emoji23][emoji23][emoji23], tumia akili.Yani hivi unapima utajiri wa Jiji kwa majengo marefu? Sasa tuseme Dar es Salaam ni Tajiri Kulikov Zurich? [emoji706][emoji706]
Kama Kenya na Tanzania, wakenya wameshikilia GDP tu lakini kwenye ground hamna kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nafikiri US iendelee kushikilia pale pale kwenye GDP but not on ground [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm na wamarekani wenzangu hatupendi sema basi tu, na ndiyo maana unaona tunaona hata uvivu kujibu mana tulishajengwa kisaikolojia tangu tukiwa wadogo kwamba US ni noma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani China iko kwenye league yake yenyewe ukitaja kuhusu maendeleo .. CHANGSHA CITY [emoji116]View attachment 2065625View attachment 2065626View attachment 2065627View attachment 2065628View attachment 2065629View attachment 2065630View attachment 2065631View attachment 2065632View attachment 2065636View attachment 2065637View attachment 2065638View attachment 2065639yani kwakifupi China iko na cities with infrastructures ambazo dunia haitii pua .. The best 007 pitia na hii City
@Tony254 hebu chukua huyu ndugu yako urudishe darasani tena, anatupotezea muda wetu bure[emoji23][emoji23][emoji23]PPP ni hewa ndugu yangu. Nominal ndio kila kitu. yani kama pesa taslimu ndani ya mfuko kwa wakati huo huo
Yani hapo wanajenga mji kama wenu alafu wanakuonesheni na vitu ambavyo ilibidi mvijenge lkn hamkujenga kwa uzembe wenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Suzhou City ..[emoji116]View attachment 2065656View attachment 2065657View attachment 2065658View attachment 2065659View attachment 2065660View attachment 2065661View attachment 2065662View attachment 2065663View attachment 2065664View attachment 2065665View attachment 2065666View attachment 2065667View attachment 2065668london [emoji3516] in Suzhou View attachment 2065670itoshe kusema China sio level za dunia tuliyonayo kabisa ..
Sio kosa letu.
Kwamba kuna balaa zaidi ya hili?Hayo yote mnataja Miji ya katikati mwa China au Magharibi. Guseni Upande wa Mashariki ambao ndio mioyo ya China inadunda mshangae vizuri[emoji1787].
Why can't you irrigate this area instead of yapping about semi desert every day, that is your country you need to do something, stop looking for excuses.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama Kenya na Tanzania, wakenya wameshikilia GDP tu lakini kwenye ground hamna kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzi umewafanya Wakenya kuanza kufikiri upya kuhusu GDP [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunapima maendeleo sio utajiri wa maneno, Sasa Nigeria na South Africa ipi imeendelea?, Nigeria na GDP kubwa, South Africa na GDP ndogo. Kenya na GDP kubwa na Mauritius na GDP ndogo?[emoji23][emoji23][emoji23], tumia akili.
Walikua wanalishwa matango pori na vyombo vyao vya habari na wanasiasa wao, ukitazama TV stations zao wakifanya mijadala kitu pekee wanachoshikilia ni "We have the biggest Economy in East Africa", baada ya hapo hawasemi huo uchumi mkubwa umewasaidiaje katika maendeleo ukilinganisha na hao wenye uchumi mdogo, hovyo Sana.Huu uzi umewafanya Wakenya kuanza kufikiri upya kuhusu GDP [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watumishi wa umma tuko takribani laki 7 kasoro iyo laki moja sio sahihiHahahaha, japo sina Elimu kubwa kukuzidi lakini sidhani Kama upo sahihi, wafanyakazi serikalini hawazidi laki Moja Tanzania, hata wakiongezewa kila mmoja Tshs 300000 kwa mwezi, hiyo inakua ni 3B kwa mwezi, kweli unataka kusema TSH 3B kwa mwezi ikiingizwa katika mzunguko wa uchumi wa Tanzania kwa mwezi inaweza kutumbisha uchumi wa Tanzania kiasi cha kusababishwa mfumuko wa Bei?[emoji23][emoji23][emoji23],
Kwa siku Moja tu wachimbaji wadogo wadogo hapa Tanzania wanaingiza zaidi ya Tsh20B kila siku na bado hawasababishi mfumuko wa Bei, wewe unazungumzia 3B kwa mwezi.
Sababu kubwa ya mfumuko wa Bei ni upungufu wa bidhaa hasa chakula usioendana na mahitaji ya wananchi, ndio sababu mfumuko wa Bei hupungua kipindi cha mavuno na kupanda kipindi cha kilimo. Jaribu kufuatilia kwa makini mienendo ya mfumuko wa Bei hapa Africa
Mnanifrahisha sana mbona hamuweki video za Chicago nazo mnaogopa nn?Bro hii Chengdu ni mji ambao upo ndani ya province inaitwa Sichuan ambapo ndani ya Sichuan kuna mji mwengine unaitwa Chongqing, hiyo kwa high-rises mbona ni New York .. Chongqing City[emoji116]View attachment 2065607. Yani kwa kifupi US atafute tu wakubishana nae kuhusu maendeleo ila sio China.. and guess what bro, Chengdu ni mji wa 9 kiuchumi na Chongqing ni mji wa saba kiuchumi.. yani miji ya US ambayo inaweza angalau kuleta ushindani na miji ya china, haizid miji mitano .. China ni balaa bro
Infrastructures gan unazungumzia?USA kati ya watu 1000 karibu 900 wanamagari yap binafsi unlike china most of them anatumia public transport...unajua kwa barabara pekee USA ina zaid ya 6m km ambazo ziko paved against china yenye 4m km? Usiwe unaongea tu kwa kuangalia picha za downtown Chengdu ukaona umeshamaliza kila kituMzee tunachongelea hapa ni infrastructure za miji hii miwili ambapo Chicago imepigwa hands down na chengdu ofcoz utajiri wa Chicago unaweza ukawa juu ila kimaendeleo based on infrastructure na technology Chicago hatii guu mzee Acha kukaza kichwa
Kwamba kuna balaa zaidi ya hili?
Sawa, hata wafike milioni Moja, bado ongezeko la mishahara Yao haiwezi kutikisa uchumi wa nchi, Kama nilivyosema, uzalishaji wa bidhaa na huduma ndio sababu kubwa wa kupanda au kupungua kwa mfumuko wa Bei.Watumishi wa umma tuko takribani laki 7 kasoro iyo laki moja sio sahihi