Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida yako bwana Walker255 wewe ni mjivuni sana na inaonesha wewe ni arrogant pia una dharau sn, huwezi kuita Watz wote hawana awareness kwamba wewe peke yako ndiyo uko vizuri kiakili, huo ni ujinga na ni utoto, usiwe hivyo na maneno ya kashfa kwa raia wenzako.

Unatakiwa kupevuka kiakili na uwe mvumilivu, unapoelimishwa kama utaona ni kweli basi jitetee pasipo ku generalize cz humu kuna watu wamekuzidi kila kitu lkn wamekaa kimya wanakuangalia unavyowatusi kisa umekosana kauli na mtu mmoja, grow up man(kama wewe ni kidume) ila kama wewe ni binti usiwe kama wale slay queen wanao act maisha.
 
Lione hili linafki [emoji115][emoji115], leo linaona Walker yuko sahihi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo jamaa hata hiyo awareness yenyewe anayozungumzia hana 😂😂😂, ni lijinga sana jitu Zima hovyo ilo
 
Wapumbavu hao, wameshikwa na jazba mpk wana haribu meaning of GDP.
 
Picha uliyoweka ni njia ya dharura baada ya kukatika kwa daraja, linalounganisha barabara ya morogoro-Dodoma .. and this is after it's rehabilitation 👇.

I thought mlisema ni daraja za Kenya the zinazoporomoka.🤣🤣🤣
Pia hii ni njia ya dharura?🤣🤣🤣

 
Wakuu kwa pamoja kabisa nawaombea kila la heri katika kusubiri mwaka mpya wa 2022, tumekuwa pamoja humu kwa muda mrefu japo tunakwaruzana lkn ukweli ni kwamba tumefunguana upeo kwa kiasi kikubwa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ningependa kuwashukuru wote humu uwe Mtz, Mkenya, Mnyarwanda, Mganda, Mburundi n.k mapambano yaendelee mpk tuhakikishe EA ina lead Africa ktk suala zima la development, Mungu awabariki sana.

Cc Emc2 kadoda ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe Mkikuyu- Akili timamu Venus Star Yule msee Mgagaa na Upwa
babayao255 NDINDA Sama boy 255
game over tuusan Simon Mkwanzania Nicxie NairobiWalker komora096 dyfre Lwiva Tony254 MK254 Don YF noma sana Amari ntazana ntazana Walker255 mwaswast Magix Enga Janerose mzalendo Lusematic Shebby01 Chamoto LightYagami Tz_one eliakeem chongchung Naton Jr Fundi kitasa Ntaghacha Gwakagwaka IamLee Teargas zuwena Undava King WAKUDAMSH nao Edward Wanjala Dotworld asvptx Smartkahn KENPAULITE Coco reborn xng hua nairobae Simba 254 nguvusimba NAWATAFUNA TEMLO DA VINCA dickchiller kikihboy muhogo_kiks Mashashola coodip1 manimac jiwe jeusi

List inaendelea.
 
Chicago huijui nadhan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…