Tanzania doesn't feed Kenya you dickhead! Tunanunua mahindi Kutoka kwenu, hamtupatii bure. We can choose to buy from any country in the world but we choose to buy from you because you are our neighbours (as much as you are stupid and jealous). Tumewahi nunua mahindi from as far as Mexico wewe kilaza. Umewahisikia Mexicans wakisema wanatulisha?
Hebu taja hizo miradi kubwa na ya kisasa ambazo mmejenga na watu wengine hawana.
Mnategemea kutuuzia umeme? [emoji23] [emoji23] Bongolala, Kenya is already producing enough electricity to cater for her own electricity needs, hadi tukabakisha surplus. And just to remind you in case you forgot, tunazalisha na kutumia umeme nyingi kuwaliko.
Again, hebu taja hizo infrastructure ziko Tanganyika that we only dream to have. Ama ziko tu akilini?
Wananchi wenu hawangekuwa wanakufa njaa hamngevamia mitaa na barabara za miji zetu na bakuli mikononi kama nzige
Endelea kujifariji na hilo wazo kwamba mnatulisha coz I guess it helps you guys suppress the pain we inflict on you.1. Tanzania inailisha Kenya na usijaribu kujiliwaza kwamba tunawauzia only mahindi, tunawalisha unga, wali, vitunguu, nyanya, na vyakula vingine vingi, pia finished goods tumejaza mashelf yenu kwa ss na ndiyo maana cc tuna export zaidi kwenu kuliko nyie mnavyo export kwetu.
2. Kuhusu miradi ambayo tunafanya usiseme nitaje miradi tunayofanya ambayo wengine hawana, sema nikutajie miradi tunayofanya ambayo nyinyi hamna.
3. Kuhusu kuzalisha umeme mwingi na surplus nadhani umesahau kwamba wewe ndiye uliyesema humu kwamba mojawapo ya sababu ya Kenya kutojenga electrified SGR ni kutokuwa na umeme wa kutosha, na kuhusu kuwauzia umeme hilo ni lazima tutawauzia utake usitake, hata ulie hautabadili hilo kutokea cz even ur president anasubiri umeme kutoka Tz kwa hamu kubwa.
4. Kuhusu infrastructures ambazo tunajenga nyinyi hamna nitakaa kmy mpk pale utanionesha electrified SGR, cable stayed bridges, modern Airpots, modern bus terminals, BRT system, 3level au interchange.
5. Eti omba omba kutoka Tz wamekuja Kenya, huyo ombaomba atoke Tz akate visa, alipie passport, na aweze ku survive nchi jirani sasa huyo utamwita omba omba au mtalii, yn Wakenya mlivyo na roho mbaya mruhusu omba omba atoke Tz aje kuchafua mazingira huko kwenu hayo yatakuwa maajabu ya Musa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Omba Omba wa Tanzania ana uwezo wa kulipia Visa, Residence permit, na lazima atakua na getho huko😂🤣, huoni kama mnafaidika na omba omba wa Tanzania, analipa kodi ya pango, serikaliyenu pia inachukua withholding tax🤣, amelipia residence pemit? na anafanya matumizi huko so shukuruni wakulungwa.🤣1. Tanzania inailisha Kenya na usijaribu kujiliwaza kwamba tunawauzia only mahindi, tunawalisha unga, wali, vitunguu, nyanya, na vyakula vingine vingi, pia finished goods tumejaza mashelf yenu kwa ss na ndiyo maana cc tuna export zaidi kwenu kuliko nyie mnavyo export kwetu.
2. Kuhusu miradi ambayo tunafanya usiseme nitaje miradi tunayofanya ambayo wengine hawana, sema nikutajie miradi tunayofanya ambayo nyinyi hamna.
3. Kuhusu kuzalisha umeme mwingi na surplus nadhani umesahau kwamba wewe ndiye uliyesema humu kwamba mojawapo ya sababu ya Kenya kutojenga electrified SGR ni kutokuwa na umeme wa kutosha, na kuhusu kuwauzia umeme hilo ni lazima tutawauzia utake usitake, hata ulie hautabadili hilo kutokea cz even ur president anasubiri umeme kutoka Tz kwa hamu kubwa.
4. Kuhusu infrastructures ambazo tunajenga nyinyi hamna nitakaa kmy mpk pale utanionesha electrified SGR, cable stayed bridges, modern Airpots, modern bus terminals, BRT system, au 3level interchange.
5. Eti omba omba kutoka Tz wamekuja Kenya, huyo ombaomba atoke Tz akate passport, alipie visa, na aweze ku survive nchi jirani sasa huyo utamwita omba omba au mtalii, yn Wakenya mlivyo na roho mbaya mruhusu omba omba atoke Tz aje kuchafua mazingira huko kwenu hayo yatakuwa maajabu ya Musa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We are so poor? 😂 😂 Last time I checked, Tanzania as a country is poorer than Kenya. Tanzanians as people are the third poorest in Africa. Or is it just a case of the pot calling the kettle black?You can’t chose buy from any country, because you are so poor to afford produces from other markets apart from Tz and UG,
Bei ya unga hapo Kunyaland ikipanda kwa 50cents huwa ni nationalwise démonstrations halafu hapa mjinga mmoja anajitutumua eti buy from any country.
Tuliza bupa bwana mdogo and be grateful for our hard working farmers, or your fellow poor desperate hunger infested kunyans will perish.
We are so poor? [emoji23] [emoji23] Last time I checked, Tanzania as a country is poorer than Kenya. Tanzanians as people are the third poorest in Africa. Or is it just a case of the pot calling the kettle black?
Dar built up area yao ndio hii hapa. Nothing beyond these two districts@Thebest007. am only realizing rightnw that the city skyline is cutting across board, across the whole entire horizon of this pic. just zoom it and see for yourself View attachment 2063492
Consolation chorus 😂 😂But they feed you .
Mwaka 2015 GDP ilikua haijafika $50B
Mimi naongelea reli iliyojengwa Tanzania Kwa Sasa, Sio reli iliyo mipangoni.Reli inajengwa kutoka dar hadi Mwanza,nikusahihishe kutoka dar hadi Makutopora ya Singida ni 742km kwa njia ya reli...njia kuu hazipungui 500km,pia mkandarasi ameanza ujenzi wa njia ya reli kutoka Mwanza kwenda Isaka zaidi ya 300km...Tatizo mnatuchukulia Poa sana...kuna mambo tunayafanya ninyi mmeyashindwa !!....Na juzi TRC wamesign tena mradi kujenga zaidi ya 300km zingine kuunganisha makutopota na Tabora....Line nzima hadi mwanza ni 1200km hadi mda huu kimebaki kipande kidogo cha kutoka Tabora kwenda Isaka cha chini ya 200km.
Alifake data ipi?Nanyi lini mtawaiga wao, mbona ninyi ni misukule ya uhuru anawaibia mnakufa njaa anafake data lakini hamna mmoja wenu anaekosoa?
Wamewazidi kenya lakini bado wako category ya lower middle income tu kama Tanzania tofauti lazima iwepo kulingana na wao kukutangulia katika eneo hilo ,bado hawajavuka lakini wametuzidi vingimorocco wako mbali sana bro yani usifananishe morocco na kenya hata kidogo
Hivi reli imefika Makutupora? Munayumianga mavi badala ya akili.🚮🚮Kwani Dar to Makutupora Singida ni KM ngapi? I thought you are matured
That's a national park you idiot. We have reserved areas called national parks and forests that are reserved to preserve a good climate. Hivi hamfunzwi mambo ya environment huko kwenu? Mnalima tu pote pote?Then why aren’t you guys utilizing these open fields to feed the your desperate kunyans dying of hunger ?
Crap🚮🚮Hujui kitu kuhusu Kilimo cha Parachichi, Nina ekari kadhaa za avocado iringa na Njombe,
The variety that is acceptable in the international market now ni hii hapa uliyoiweka inaitwa hass,
Hayo yanayoingizwa toka Burundi are just for local consumption. and it is just for gap filling during low season..
Hapa bongo parachichi hizi hizi za kienyeji huwa zinazaa msimu na ni mara moja tu kwa mwaka, kuna wakati zinazotoka Kilimanjaro, mbeya, Morogoro na Iringa zinakata ndio wabongo huenda kununua Burundi,
But the Hass variety is the ones meant for export na ndio na madalali hadi huko kunayaland are scrambling for.
Kwa hivyo unamaanisha kwamba leo hata Uganda inawazidi kiuchumi? Mbona mibongo mnapenda ubishi? GDP ya North Korea ni $28.5b. So kati ya Tanzania na North Korea ni nchi gani iko na uchumi kubwa?Tanzania iwe na uchumi mkubwa kuliko North Korea inayotengeneza almost kila kitu yenyewe? 🤣🤣🤣
Ni Kenya na Uganda ndio zenye uchumi mkubwa kuliko North Korea, idiot
What has this statement got to do with what I posted? Nyinyi watu education yenu ni matope tu. Mimi Nakueleza SA is more developed than Nigeria because it's GDP per capita is way higher than Nigeria na wewe unaniambia unrelated information about Kenya and Egypt. 🚮🚮Egypt has a population of 105m and is 5 times Kenya’s economy, fool [emoji706][emoji706][emoji706]
Mimi naingelea reli iliyojengwa Tanzania Kwa Sasa, Sio reli iliyo mipangoni.
Hi I tuseme huyo mama ntilie mwenye wewe hukula kwake ndiye anayekulisha?But they feed you .
Naongelea vitu vilivyokamilika bwana.Inauojengwa kwa sasa ni
1. Dar Moro 200km 98%
2.Moro makutupora 280km 60%
3. Isaka - mwanza 300km 5%
4. Makutupora- Tabora (Signed)
Any questions ???