chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Na wewe kwa akili yako hizo number ndio uchumi? 🚮🚮🚮🚮Kenya GDP $106B VS Tz GDP $65B the difference is $41B Hii pekee inatoa picha tunayo kazi ya kufanya watz. Tukope tumalize miradi ya kimkakati labda inaweza badili hali ya uchumi kwa siku zijazo...let's hope tunaweza close gape apo baadae ...
Naona uwekezaji ukipaa sambamba na utalii...sijui kama inaweza punguza gap kwa kiasi gani
Learn to read between the lines, nioneshe mahali Magu alikataa kwamba covid haikuwahi kuwepo Tz, mpk mwanaye wa kumzaa kawahi kupata corona na alisema public.Eti Magufuli hakuwahi Sema eti Tanzania haina corona? Ni mara ngapi hata nyinyi hapa ndani mlizungumzia hili? Na hizi taarifa je?
Coronavirus: John Magufuli declares Tanzania free of Covid-19
President John Magufuli says prayers have helped eliminate the deadly virus from the country.www.bbc.com
Kuhusu kauli za Magu na SSH, ni mara ngapi nimeona mkikashifu baadhi ya maamuzi ya mama hadharani kwenye hili jukwaa? Kama maono yake yanaendana na ya Magu as you say, mbona hizi lalama zote?
Vipi on ground? Je Kenya na Tz zinaikaribia North Korea even a little bit?Hata hiyo Tanganyika yenu ina uchumi kubwa kushinda hiyo North Korea
Nimeshangaa sana, ila ana uhuru wa kuongea anachotaka humu ndani mradi avunji sheria.Na wewe kwa akili yako hizo number ndio uchumi? [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Ni kweli lakini elimu yake ndogo sana, atakua kasomea Kenya 😂😂😂😂🙌🙌🙌Nimeshangaa sana, ila ana uhuru wa kuongea anachotaka humu ndani mradi avunji sheria.
[emoji205][emoji205] zitapingaKenya GDP $106B VS Tz GDP $65B the difference is $41B Hii pekee inatoa picha tunayo kazi ya kufanya watz. Tukope tumalize miradi ya kimkakati labda inaweza badili hali ya uchumi kwa siku zijazo...let's hope tunaweza close gape apo baadae ...
Naona uwekezaji ukipaa sambamba na utalii...sijui kama inaweza punguza gap kwa kiasi gani
Kenya GDP $106B VS Tz GDP $65B the difference is $41B Hii pekee inatoa picha tunayo kazi ya kufanya watz. Tukope tumalize miradi ya kimkakati labda inaweza badili hali ya uchumi kwa siku zijazo...let's hope tunaweza close gape apo baadae ...
Naona uwekezaji ukipaa sambamba na utalii...sijui kama inaweza punguza gap kwa kiasi gani
Kenya GDP $106B VS Tz GDP $65B the difference is $41B Hii pekee inatoa picha tunayo kazi ya kufanya watz. Tukope tumalize miradi ya kimkakati labda inaweza badili hali ya uchumi kwa siku zijazo...let's hope tunaweza close gape apo baadae ...
Naona uwekezaji ukipaa sambamba na utalii...sijui kama inaweza punguza gap kwa kiasi gani
Eti mtu anatype kabisa Tz GDP ni $65b tangu 2015 tupo hapo hapo kwenye 60s, nchi inajenga miundombinu mikubwa na ya gharama lkn GDP iko hapo hapo haipandi, ni kichaa pekee atakubali ujinga huu.Tunaweza kuamua kupaisha GDP ili tuvute mikopo mingi ya wazungu wakenya wanavyofanya, but kwa ground mambo hujieleza..
Morocco ina GDP ya $110b na Kenya nao wanadai wana gdp ya $105b
Tofauti kwa ground ni kuwa Kenya ni nchi ya ulimwengu wa tatu na Morocco ni ulimwengu wa kwanza.
Think kaka, think .
Wewe kichwa yako imejaa mavi na ndiyo maana una kichwa kikubwa akili ndogo, yani nimekuingiza kwenye mtego ukajaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata hiyo Tanganyika yenu ina uchumi kubwa kushinda hiyo North Korea
We jamaa ni kenge sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu Mama ako na mawazo tofauti sana mbali na mwendazake. Hata corona aliwaambia ukweli ikabidi vilaza waache ujinga wa kutumia concortions wakumbatie sayansi.
Ndio hawa vilaza akina Joto la Jiwe, Ichoboy, The best007, Venus Star na wengineo kabla ya Mama kuwatoa ujinga
View attachment 2062658View attachment 2062660View attachment 2062661
Lete na ya Tz uone jinsi tunavyo export huko Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]just Incase y'all wondering how much we export to DRC
Tanzania's Avocado are for export.Tz inaimport Avocado from Burundi alafu wanakuja kudanganya hapa eti Kenya inauza avocado zao. 😂😂😂😂
Ni kama Kunya kuwa na GDP kubwa kuliko North Korea. Haya mambo ya GDP haya refrect chochete.Wewe nawe uwaga unakurupuka tu bila ya kushirikisha ubongo. Nigeria ina GDP ya $450b
South Africa ni $300b
Tofauti ni 150b
Kati ya South Africa na Nigeria ni nchi gani imeendelea ?
GDP siyo kipimo halisi cha maendeleo ukae ukijua hilo kwanza.Hata hiyo Tanganyika yenu ina uchumi kubwa kushinda hiyo North Korea
Hapa ni kama kumuelimisha mbuziGDP siyo kipimo halisi cha maendeleo ukae ukijua hilo kwanza.
Hizi treni mpya ya Senegal mbona imeibua vilio vya wakunya kule Twitter na Facebook sana! [emoji23][emoji23][emoji23]
linganisha pia na idadi ya watu. eg. India ina trillioni dollar 2.72,. na Italy 2.07.. ni nchi gani ilioendelea?Wewe nawe uwaga unakurupuka tu bila ya kushirikisha ubongo. Nigeria ina GDP ya $450b
South Africa ni $300b
Tofauti ni 150b
Kati ya South Africa na Nigeria ni nchi gani imeendelea ?