Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Low IQ on display.,😂😂😂😂😂😂😂😂😂 napitia pitia uzi naona vile nyie maboya mnajiliwaza tu.., ngojeni 25 years nani😂😂.,
 
yes arthi river in machakos county kama nimekosea niambie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Same distance from Dar haupati anything such level., kwa Kenya mtangoja sana, pengine Domo domo na Kiswahili, hapa jibu to level exactly hamna😂😂😂😂😂.,
 
Two years ago meli ya MV Uhuru ilikua ishaanza kazi ya kupeleka mafuta kutoka Kenya hadi Uganda. Nimedhani hata unanionyesha video ya meli ikiwa kazi. Wacheni tabia ya kupayuka. 😂😂😂
hio inabeba treni kabisa kuelekea uganda mm sitak utumie hasira kunijibu
 
Same distance from Dar haupati anything such level., kwa Kenya mtangoja sana, pengine Domo domo na Kiswahili, hapa jibu to level exactly hamna😂😂😂😂😂.,
sasa umekasirika mm kusema ukweli 🤣🤣
 
huo ni utamaduni wa zanzibar kama ulivokua utamaduni wa lamu kupanda punda na utamaduni wa mombasa kupanda tuktuk na utamaduni wa kisumu kupanda baiskeli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na utamaduni wa Nairobi kupanda Malori ya mizigo .
 
Sio lazima iwe ufisadi per se...inawezekana kweli kuna hela italiwa even millions of dollars ....ila sio ya kuongeza 1 trillion nzima....

Kuna Inflation pia...kumbuka mwaka 2018 sio sawa na 2021..vitu vimepanda bei...hela imeshuka thamani sio TzS tu hata USD

Covid inaweza kuwa imeleta importing cost kuongezeka kutokana na supply ya materials etc..

Je wataimprove nn kwenye hio reli..vituo vitakuaje etc...

Madaraja ni mengi au machache kuna tunnels?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…